Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,459
Kwenu
Wanajamvi
Salamu ama baada ya salamu kwa wale walio mbali na upeo wa macho yangu
Dhumuni la ujumbe huu Wanajamvi nimeona nianzishe hii thread kwa wale wenye movies nzuri na zenye quality nzuri wapost dowload links ili na sie maskini wa maujuzi ya kugenerate premium links tufaidike wakuu.
Wenu katika furaha na majonzi.
Biohazard
NOTE : KWA WALE MNAOTUMIA PROXY HII KITU INAFANYA TENA VIZURI SANA. Just go to the thread n click the link then nipe feedback.