Download and stream like a pro

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,868
40,288
Kuna njia nyingi sana za kudownload mafile mbalimbali kwenye internet. leo nitatoa baadhi ya tips zangu ninazotumia kudownload na kama wewe una njia ya kudownload ambayo ni unique pia utaisema hapa. Hii tutorial ni kwa wale ambao wanajua tayari basics za kudownload ila wanataka ujuzi zaidi.

Jinsi ya kudownload playlist youtube
Kuna wakati unaweza kuta unataka kudownload video 50 youtube kwa mpigo video hizo zipo kwenye playlist inakuwa tabu kudownload video moja baada ya nyingine, unaonaje ukiweza kuzidownload video zote 50 kwa single click?

Nitatoa mfano mimi nataka kudownload tv series inaitwa swordsman 2013 ina episode 56 na ipo youtube mfano huu nitatumia kwenye njia zote.

1.Kwa kutumia BYtubeD plugin.
vitu vinavyohitajika
-uwe na browser ya mozilla firefox
-download extension ya bytubed (google)
-download manager

Nenda youtube fungua playlist unayotaka kudownload right click hio page halafu chagua bytubed then utaona hio extension inagenerate direct link then tumia download manager kuzidownload kwa mpigo.
3j81rMH.jpg

YDL0ec0.jpg

2.Kwa kutumia 4k video downloader
Kuna software nyingi zinazodownload youtube hii naitaja ili kuwakilisha wenzake tu. Kwa kutumia 4k just copy link ya playlist halafu paste kwenye hio software then itafanya kila kitu yenyewe na itadownload episode zote.
LaMhEiA.jpg

pia software hii inakubali proxy.

Kudownload mafile mengi kwa mpigo
Inawezekana page moja ina direct link nyingi za mafile na wewe unataka udownload mafile yote hii ndio njia nzuri ya kutumia, utatakiwa uwe na
-download manager (idm)
-links ambazo ni direct ambazo ukiclick tu zinaanza kudownload mara nyingi zinakuwa ni ftp

1.kwa kutumia grabber kwenye idm
fungua idm halafu chagua grabber then eka url ya page yenye link za kudownload then idm itagrab mafile yote.

2.kwa kutumia drop target kwenye idm
kuna wakati grabber inakuwa haifanyi kazi hasa kama url ikiwa inatokea kwenye local storage mfano bytubed inastore link kwenye pc yako hivyo grabber inakuwa useless basi hapa drop target ndio inaposhine.
-fungua idm bonyeza task halafu chagua drop target utaona kuna kibox kitatokea kwa juu
-nenda kwenye page yenye link then chagua link zote (ctrl+A) then drag link halafu drop kwenye kibox cha idm na utaweza kudownload link zote kwa mpigo.
sPlPpEN.jpg

stream youtube kwa application kwenye desktop
kuna hii app inaitwa minitube kazi yake inastream youtube kwenye computer bila kufungua browser, je kitu gani kinaifanya hii app iwe special?

1.muda wote inaplay haisimami
mfano unaangalia tutorial 10 youtube kila tutorial 1 ikiisha itabidi unyanyue mkono utafute tutorial ya pili uchague ili ianze kuplay, lakini kwa kutumia app hii video ya kwanza ikiisha automatic ya pili inaanza kujiplay.

2.best app kwa wanaotumia proxy.
nafikiri munajua jinsi gani proxy zinavyozingua youtube kwenye kuangalia na kudownload lakini ukiwa na app hii hutapata shida utaweza kuangalia na kudownload youtube vizuri.
Minitube-02.png

je una njia yako unique ya inayorahisisha kudownload? ieke na sisi tufaidike na pia kama una swali lolote kuhusu kudownload usisite kuuliza
 
Daaah Chief-Mkwawa umenisaidia sana mimi.
Naomba nisaidie link ya bytubed, download manager pamoja na hiyo minitube ili nizidownload hizo softs kwanza kisha niingie mzigoni kuhakiki tutorial yako.
Thanks
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hili ni darasa zuri sana ku attend. nakupongeza sana kwa hilo . binafsi nmekuwa nikipata shida kudownload series kwa kutumia IDM nalazimika kutumia bittorrent au vuze. though huwa naona kama IDM ina speed nzur zaidi kuliko torrent. swali langu ni hili. mfamo nataka kudownload series ina episodes 13 nataka kutumia idm nifanyeje?
 
unatakiwa ujue source ya hio series kwanza, kutokana na source utakayotumia kudownload ndo utaamua ugrab au udownload episode moja moja

changamoto kubwa ya kudownload kwa idm ni kwamba quality inaweza kuwa ndogo. ila kama hujali sana unaweza tumia.

tumia tubeplus.me kwa kuanzia na make sure browser yako ina adblock

tu
 
bytubed imekufa hio extension haifanyi kazi siku hizi, kama una vitu unataka kudownload niambie nitakupa njia nyengine
Mkuu, ukiwa unaangalia nyimbo YouTube hua inakupa suggestion ya playlist, sasa nilikua natafuta njia rahisi ya ku download Ile playslist
 
Kuna njia nyingi sana za kudownload mafile mbalimbali kwenye internet. leo nitatoa baadhi ya tips zangu ninazotumia kudownload na kama wewe una njia ya kudownload ambayo ni unique pia utaisema hapa. Hii tutorial ni kwa wale ambao wanajua tayari basics za kudownload ila wanataka ujuzi zaidi.

Jinsi ya kudownload playlist youtube
Kuna wakati unaweza kuta unataka kudownload video 50 youtube kwa mpigo video hizo zipo kwenye playlist inakuwa tabu kudownload video moja baada ya nyingine, unaonaje ukiweza kuzidownload video zote 50 kwa single click?

Nitatoa mfano mimi nataka kudownload tv series inaitwa swordsman 2013 ina episode 56 na ipo youtube mfano huu nitatumia kwenye njia zote.

1.Kwa kutumia BYtubeD plugin.
vitu vinavyohitajika
-uwe na browser ya mozilla firefox
-download extension ya bytubed (google)
-download manager

Nenda youtube fungua playlist unayotaka kudownload right click hio page halafu chagua bytubed then utaona hio extension inagenerate direct link then tumia download manager kuzidownload kwa mpigo.
3j81rMH.jpg

YDL0ec0.jpg

2.Kwa kutumia 4k video downloader
Kuna software nyingi zinazodownload youtube hii naitaja ili kuwakilisha wenzake tu. Kwa kutumia 4k just copy link ya playlist halafu paste kwenye hio software then itafanya kila kitu yenyewe na itadownload episode zote.
LaMhEiA.jpg

pia software hii inakubali proxy.

Kudownload mafile mengi kwa mpigo
Inawezekana page moja ina direct link nyingi za mafile na wewe unataka udownload mafile yote hii ndio njia nzuri ya kutumia, utatakiwa uwe na
-download manager (idm)
-links ambazo ni direct ambazo ukiclick tu zinaanza kudownload mara nyingi zinakuwa ni ftp

1.kwa kutumia grabber kwenye idm
fungua idm halafu chagua grabber then eka url ya page yenye link za kudownload then idm itagrab mafile yote.

2.kwa kutumia drop target kwenye idm
kuna wakati grabber inakuwa haifanyi kazi hasa kama url ikiwa inatokea kwenye local storage mfano bytubed inastore link kwenye pc yako hivyo grabber inakuwa useless basi hapa drop target ndio inaposhine.
-fungua idm bonyeza task halafu chagua drop target utaona kuna kibox kitatokea kwa juu
-nenda kwenye page yenye link then chagua link zote (ctrl+A) then drag link halafu drop kwenye kibox cha idm na utaweza kudownload link zote kwa mpigo.
sPlPpEN.jpg

stream youtube kwa application kwenye desktop
kuna hii app inaitwa minitube kazi yake inastream youtube kwenye computer bila kufungua browser, je kitu gani kinaifanya hii app iwe special?

1.muda wote inaplay haisimami
mfano unaangalia tutorial 10 youtube kila tutorial 1 ikiisha itabidi unyanyue mkono utafute tutorial ya pili uchague ili ianze kuplay, lakini kwa kutumia app hii video ya kwanza ikiisha automatic ya pili inaanza kujiplay.

2.best app kwa wanaotumia proxy.
nafikiri munajua jinsi gani proxy zinavyozingua youtube kwenye kuangalia na kudownload lakini ukiwa na app hii hutapata shida utaweza kuangalia na kudownload youtube vizuri.
Minitube-02.png

je una njia yako unique ya inayorahisisha kudownload? ieke na sisi tufaidike na pia kama una swali lolote kuhusu kudownload usisite kuuliza
Chief nikitumia hiyo njia na english subtitles zinakuepo?
 
Bytubed kwa uelewa wangu haipo supported tena sidhani kama itafanya kazi.

4k video downloader bado ipo na inafanya kazi, na ndio inadownload na subtitle pia.
 
Back
Top Bottom