hii uandae tissues za kutosha maana kuna scenes utamwaga michozi kama maji. Smith na mwanae walicheza vizuri sana.
super emotional...soo touchy....''my best will smith movie''..
Ulivyosema masaa matatu nimechoka tayari duh ninayo itabidi nifikirie time table ya muda au siku ambayo kukaa kutizama sisumbuliwi wala simsumbui mtu. Leonardo Dicaprio jamaa namsifu Hana majivuno wala sifa nje ya game ni ma Actor wachache wa hivi kina Denzel Dicaprio husikii balaaaaaa zao nje Sema DiCaprio ingekuwa sio movie angekuwa jamaa mmoja tu mtaani tumbo na Beer yake Di Caprio movie ndio zinmfanya Kuwa na umbo la GyM unajuwa Holywood utaambiwa sasa kondo mkuu au sasa tanuka au sasa Kuwa bonge ukiitizama Hali ya hivi ki kawaida ngumu ila Wenzetu Hollywood rahisi na hizi True story wanapewa kuishi na watu waliopitia ili wa feel mazoea. movie nyengine SKIN ya Msouth Africa anaitwa Sandra Ling hii movie msikose mkitizame rudini kunieleza mmeona je SKIN ya Sandra Ling Huyu Mama kazaliwa Black wazazi wake White South African so alipata tabu sana maishani mwake. Hii ni True Story bila chumvi.Usiikose hii, "The wolf of wall street" Leonardo DiCaprio alicheza zuri sana ila ni ndefu, masaa matatu.
[h=3]The Pursuit of Happyness - Wikipedia, the free encyclopedia[/h]Kabisa Mkuu...Mie siku niliyoenda kuiona ilikuwa imefurika halafu mwisho audience waliwapa standing ovation ya kama dakika tatu hivi. Kuna wakati nilizungusha macho theatre yote kuona kama kuna mtu aliyekuwa hatoi machozi nikaona wote wako busy kufuta machozi dah!!!!
Ulivyosema masaa matatu nimechoka tayari duh ninayo itabidi nifikirie time table ya muda au siku ambayo kukaa kutizama sisumbuliwi wala simsumbui mtu. Leonardo Dicaprio jamaa namsifu Hana majivuno wala sifa nje ya game ni ma Actor wachache wa hivi kina Denzel Dicaprio husikii balaaaaaa zao nje Sema DiCaprio ingekuwa sio movie angekuwa jamaa mmoja tu mtaani tumbo na Beer yake Di Caprio movie ndio zinmfanya Kuwa na umbo la GyM unajuwa Holywood utaambiwa sasa kondo mkuu au sasa tanuka au sasa Kuwa bonge ukiitizama Hali ya hivi ki kawaida ngumu ila Wenzetu Hollywood rahisi na hizi True story wanapewa kuishi na watu waliopitia ili wa feel mazoea. movie nyengine SKIN ya Msouth Africa anaitwa Sandra Ling hii movie msikose mkitizame rudini kunieleza mmeona je SKIN ya Sandra Ling Huyu Mama kazaliwa Black wazazi wake White South African so alipata tabu sana maishani mwake. Hii ni True Story bila chumvi.
. Pale chooni na kwenye fensi kulitilisha huruma maisha sio kukata tamaa au kukatisha watu tamaa.
Mkuu Autorun, hizo zote sijaziona isipokua lone survivor,ngoja nizitafute
wakuu huwa napenda sana movie inazozungumzia true stories kwasababu huwa zinanifunza na kunihabarish amatukio mengi sana humu ulimwenguni baadhi ya movies ni 1.ZERO DARK30 2.HOTEL RWANDA 3.SOMETIMES IN APRIL 4.ACT OF VALOR 5.lone survivor 6.RESCUE DAWN 7.Stoning OF SORAYA M. 8.persuit of happines TAFADHALI ONGEZA LIST,HIZO NI BAADHI TU YA NINAZOZIFAHAMU,KAMA UNAFAHAMU NAOMBA UONGEZE LIST ILI NIPATE KUZITAFUTA NIANGALIE HESHIMA KWENU BAK theboss Invisible Reddish Heavensent Mwendabure, na wengine kujeni huku
wakuu huwa napenda sana movie inazozungumzia true stories kwasababu huwa zinanifunza na kunihabarish amatukio mengi sana humu ulimwenguni baadhi ya movies ni 1.ZERO DARK30 2.HOTEL RWANDA 3.SOMETIMES IN APRIL 4.ACT OF VALOR 5.lone survivor 6.RESCUE DAWN 7.Stoning OF SORAYA M. 8.persuit of happines TAFADHALI ONGEZA LIST,HIZO NI BAADHI TU YA NINAZOZIFAHAMU,KAMA UNAFAHAMU NAOMBA UONGEZE LIST ILI NIPATE KUZITAFUTA NIANGALIE HESHIMA KWENU BAK theboss Invisible Reddish Heavensent Mwendabure, na wengine kujeni huku