"Based on true story" movies

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,475
7,835
Wadau,

True story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku,
Weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya ukweli kabisa.

List yangu fupi kuna;
1. Beautiful mind
2. Persuit of happiness
3. Titanic
4. Shawnshak redemption na Pablo Escobar naona nae wamtolea series zake kabisa!

Wadau ebu endeleeni na hii list ya hizi movies za ukweli ukweli.
 
wadau,

true story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku,
weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya ukweli kabisa.

list yangu fupi kuna;
1. beautiful mind
2.persuit of happiness
3.titanic
na pablo escobar naona nae wamtolea series zake kabisa!
wadau ebu endeleeni na hii list ya hizi movies za ukweli ukweli.

Lone Survivor.
 
For starting
Blood Diamond
Sometimes in April
Hotel Rwanda
Lion
Secret soldier of Beghaz
Lone Survivor
Barfi ( My best from India ) am not sure if was basing on true story
Storming of Soraya
Zile zinazohusu Ushenzi wa Hitler zote zipo nyingi sana and I tried to watch them as much as I could but i mix their titles
 
shukrani, list imeshiba. kumbe barfi ni true story
 
Hua sipendi kuangalia movies za kusikitisha sababu sipendi kupata huzuni na kuumia, mfano hii movie ya Lion babymama alinilazimisha kuangalia ikabidi niangalie tu aiseee nilijikaza lakini wapiii machozi yalitoka yenyewe,
Kumbe lengo lake lilikua anione nalia,
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
 
Hapana siwezi, halafu mbaya zaidi tukio lile ninaloliona linabaki akilini mwangu kwa siku nyingi, hua sipendi hata kidogo, napenda niangalie kitu kinifanye nicheke, nikasirike, nitishike lakini sio kitu cha kuumiza hisia zangu.
 
Pole sana hata mimi sipendi muvi za kuhuzunisha. Hebu angalia muvi ina 1787 Paris (mwaka huo nitakua nimeukosea) ila ukiangakia utaipenda na nitukio la kweli la marafiki watatu. Hao hao marafiki ndio wameicheza muvi, Muandaaji ni Clint Eastwood imetoka 2018. Nzuri sana utajikuta unatamani kua mtu mwema
 
Thank you ngoja niitafute
 
Back
Top Bottom