Ni kulialia, kufokeana, kuonyesha magari, tena kama wapo njiani utasubiri mpaka wafike.
Na kama ni mgonjwa wataonyesha mpk anavyotapika.
... siziwezi aisee !
Daaah ila hawa jamaa kwa kweli ni Kiboko kuna wana-bongo movie flani wachanga walikuja kwa braza wakaomba nyumba kwa ajili ya kufanyia movie cha kushangaza hadi wanaondoka walikuwa wamefuta vyakula vyote vinavyotafunika ndani ya Friji..
Hizo bongo movie huwa naangalia kwa bahati mbaya labda nikiwa ndani ya basi nasafiri naweza tupia jicho kidogo, ila nikiwa kwangu sina huo muda movie zao zina kasoro kibao sauti, mwanga, mavazi, na story zao ni shedah!