Ukisoma subtitle English ni shiiidaaa!
Jambazi anavua viatu????
Hakuna uhalisia hata kidogo
scene ya mtu akiamka anakuwa keshapigwa mekaup
Kusema kweli sijawahi angalia move za Tz zaidi ya comedy ya Itv jumapili ndio huwa naweza iangalia na kucheka mizengwe.
:-D:-D:-D
Unaangalia bongo movie kwani wewe ni house girl?
Mie ndani ya bus zinapowekwa huwa ni usingizi tu labda kama naenda sehemu sijawahi fika.
kuna moja jana nimekuta inatazamwa home sijui inaitwaje ile,,,,,,,,,,jamaa kasema NIPO NA WEWE BEGA KWA BEGA subtitle yake sasa I WILL BE WITH YOU SHOULDER TO SHOULDER,,,,,,,,!!!!
Hahaha hii ya Wopa au Johari?
Kama mimi vile yaani zangu ni NOLLYWOOD kwa sababu zinamafunzo ndani yake. Simjui mwigizaji yeyote wa Bongo movie kwa jina
Jambazi anavua viatu????
Hakuna uhalisia hata kidogo
Ni kulialia, kuonyesha magari, tena kama wapi njiani utasubiri mpaka wafike.
Na kama ni mgonjwa wataonyesha mpk anavyotapika.
... siziwezi
Mkuu uko kama mimi, kwenye gari wakiweka hayo mapichapicha yao mi naweka earphone napata muziki laini huku nikiuchapa usingizi taratibu.