Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,423
- 7,911
Wanajamvi heri ya pasaka na mfungo kwa islamic.
Direct kwenye mada, wakuu ukiacha series zilizo sifiwa sana kama Iris na Game of Throne ambayo nilijaribu kuifuatilia ila maudhui yake yakanifanya niitupilie mbali hivyo nikawa nimebaki na seriez 3 pekee ambazo nilijitahidi kujikaza mpaka mwisho kwani sio mpenzi sana.
Ukiondoa Lord of The Ring, Jumong, mwaka jana niliangalia Squid Game ambayo ilinivutia sana japo sikuicheki mpaka mwisho, series hii inamaudhui poa kabisa na inavuta hisia kwa rika zote si mtoto tu, hata mzee kama mimi anaenjoy.
Basi kwa mapumziko haya mafupi napenda mnitajie series japo 3 tu zenye kuvuta hisia kama Squid Game kwa walioina, asanteni.