Movie Reviews

Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Messages
331
Points
500
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined May 22, 2019
331 500
Mwenye anajua movies za wazamiaji wa meli kutoka Afrika kwenda Ulaya anisaidie majina yake tafadhali
 
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,144
Points
2,000
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,144 2,000
Mwenye anajua movies za wazamiaji wa meli kutoka Afrika kwenda Ulaya anisaidie majina yake tafadhali
Ni siku nyingi hata jina limeanza kunitoka vile jaribu hii Deadly Voyage kitu kama hicho. Aliyenusurika alikuwa ni mmoja tu. Si ndiyo hivyo?
 
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Messages
331
Points
500
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined May 22, 2019
331 500
Ni siku nyingi hata jina limeanza kunitoka vile jaribu hii Deadly Voyage kitu kama hicho. Aliyenusurika alikuwa ni mmoja tu. Si ndiyo hivyo?
Sawa mkuu asante sana ngoja niipakue hii niichek pia ukipata nyingine usisite kunitumia mkuu
 
mwasipenjele

mwasipenjele

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Messages
725
Points
500
mwasipenjele

mwasipenjele

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2012
725 500
Jaman nashida ya site ya Ku download series moja hv matata sana ya wababe wa majin inaitwa BLACK SAILS msaada
 
Mtyela Kasanda

Mtyela Kasanda

Senior Member
Joined
Oct 13, 2018
Messages
152
Points
250
Mtyela Kasanda

Mtyela Kasanda

Senior Member
Joined Oct 13, 2018
152 250
Jaman nashida ya site ya Ku download series moja hv matata sana ya wababe wa majin inaitwa BLACK SAILS msaada
kama unatumia Android, download app inaitwa Terrarium TV ( haipo playstore)na Advanced Download Manager kwa pamoja.
 
Forum statistics

Threads 1,314,371
Members 504,904
Posts 31,824,773
Top