Michael Paul
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 403
- 319
Tafuta movie inaitwa TAKERS, Cast kwenye hii movie ni CHRIS BROWN, HAYDEN CHRISTENSEN, MATT DILLON, MICHAEL EALY, IDRIS ELBA, STEVE HARRIS, T.I, JAY HERNANDEZ AND ZOE SALDANA.
Pia tafuta movie nyingine inaitwa I AM NUMBER FOUR you'll also love it.
You wont regret watching it pia tafuta FAST FIVE cast waliomo kwenye hiyo movie ni VIN DIESEL, PAUL WALKER, JORDANA BREWSTER, TYRESE GIBSON, LUDACRIS. Pia movie ya PIRATES OF THE CARRIBEAN: ON STRANGER TIDES ya Johnny DeppTakers is one of my collection and i love it.... Naitafuta AM NUMBER FOUR.... and i honestly believe itakua nzuri...
You wont regret watching it pia tafuta FAST FIVE cast waliomo kwenye hiyo movie ni VIN DIESEL, PAUL WALKER, JORDANA BREWSTER, TYRESE GIBSON, LUDACRIS. Pia movie ya PIRATES OF THE CARRIBEAN: ON STRANGER TIDES ya Johnny Depp
Hizo mbili nimeziangalia na nimezikubaliaNatafuta Fast Five (in fact tomorrow am going for new movies), ila hio ya pirates of the Carribean on Stranger Tides inaniumiza kichwa mimeitafuta saana last time but i believe hio kesho i will get. Katika movie za hapa karibuni i hope you have watched London Boulevard ya Collin Farrel and Keira Knightly (you will love it), Drive Angry ya Nicholas Cage (thou imeniboa kidogo) na Here after ya Matt Damon.
Hizo mbili nimeziangalia na nimezikubalia
kesho nitashusha hi 'here after' ya matt damon, napenda movie ya huyu mtu.
The Mechanic iko so predictable, Takers well wamecopy movie nyingi na kubundle pamoja i.e The Italian Job, Heat just to name the few.
Yep, in fact if you watch closely you will realise there's a little bit of Ocean's 11, 12 & 13 as well.. nadhani The Town was the best heist movie of 2010.Very interesting perspective Eqlypz... I can see where it is coming from... though never thot in those lines.
Mwenyewe simzimii Ben Afleck lakini The Town was a very good movie, nice camera movement, fluid visual effects and the plot was good and easy to understand yet not so predictable. Takers on the other hand camera movement haikuwa smooth mfano camera shake kwenye foot chase ya Chris Brown na polisi.Simkubali Ben Afleck but ukweli The town ni bora kuliko Takers.... Of all the oceans, I love Oceans 11 and Oceans 13 hio Oceans 12 naona tu walichakachua.. to the extent when i heard Oceans thirteen was coming out nilijua sitaangalia. But nilipogundua Zeta Jones atakuepo it pushed me kuangalia and i loved it.
Mwenyewe simzimii Ben Afleck lakini The Town was a very good movie, nice camera movement, fluid visual effects and the plot was good and easy to understand yet not so predictable. Takers on the other hand camera movement haikuwa smooth mfano camera shake kwenye foot chase ya Chris Brown na polisi.
Tukirudi kwenye The Mechanic, it's an okay movie certainly not a wow movie, nayo imekaa kama Transporter hivi labda ni mimi tu ndio ninayeona hivyo.
I Am Number Four ni movie nzuri (may be kwa sababu nampenda D.J. Caruso) good effects and fight sequence yake ni top notch especially mwishoni kwenye football field ile slo mo ilikuwa si mchezo.
Sijawahi na sinto angalia any of the Pirates of Caribbean movies so siwezi kuelezea chochote. Nasubiria X-Men na especially Transformers 3 kwa sababu I saw a big part of the shooting while I was interning for Paramount Pictures nataka kuona jinsi kila kitu kilivyowekwa pamoja.