Movie Review: The Mechanic

Movie Review: The Mechanic

Come on Eqlypz you can not like movies and do not watch the pirates of the Caribbean... what is it? Is it Jonny Depp himself or the movies itself (the first time i saw the trailer i thot NO this is not me...) but then watched it with a friend and loved it.

BUT hapo in RED are you pulling my leg.... Boy am impressed, jealous, .... really don't know what to say... i think HONGERA SAANA will do..
I just don't like those kind of movies..

Kwenye RED it was just an internship unpaid one kwanza, nothing too serious not like I had a chance to talk to Michael Bay or Shia about the movie and its intricacies lakini it was a GOOD experience nikipata tena chance I would do it in a heartbeat. I will post some pics I took from the set kwenye photo album (on my profile).
 
Wakati mwingie nadhani ni vema ku review movie za kibongo, may be wanaweza kujirekebisha na kutengeneza filamu zilizo bora siku za mbeleni.
 
You and i know the words in blue don't matter... as long as you were at the spot! so pleeease stop being modest. In red you are not doing justice to the experience and movie set exposure you got.. Good doesn't even start defining it in prologue... Post them pics looking forward to seeing them.... will definitely be visiting your profile soon..
 
wadau tafuteni kitu kinaitwa"kill point"ni nzuri sana ila siwakumbuki casts wake!
 
Wakati mwingie nadhani ni vema ku review movie za kibongo, may be wanaweza kujirekebisha na kutengeneza filamu zilizo bora siku za mbeleni.

X-PASTER Mkuu habari yako bana.... Nimetafuta huu uzi lakini nikasema silali mpaka nikupe stand yangu katika Bongo Movies... sikutaka nijirudie "nimeona bora ni copy na kupaste nilo andika last time" kuhusiana na hii issue....

Ni watu wengi saana ambao huponda sana hizi Bongo Movies kwa kuzilinganisha na za nchi nyingine. Personally napenda saana kuangalia movies lakini nimewahi angalia za kibongo kama tano, nakumbuka tu moja jina I think it goes something like 14 days or 14 weeks (mtanisamehe sikumbuki vizuri).

En ways kitu ambacho nilitaka kugusia ni ukweli ulio wazi kua watanzania weengi lugha ya kigeni yani kiingereza kinatusumbua saana. Hivyo basi hio ilipelekea kua Wananchi wachache sana wa Tanzania walikua wakiketi chini na kukaa kama familia kuangalia filamu, hasa hasa wakijitahidi saana ilikua zinachuliwa picha za ngumi ambazo haziihitaji uelewe lugha bali kujua tu sterling kashinda na hajauwawa... (Enzi za Van Damme, Jacky chain, Arnold...)

Bado naona kiwango cha filamu Tanzania ni kidogo but kweli kwa moyo wa dhati kabisa napongeza wale woote Tanzania walio katika filamu industry kwa kazi wanayofanya kwani ni Wananchi wengi sasa wanoweza kuketi na kuangalia filamu akaelewa lugha na akafurahia. Weakness zao katika hizi picha ni kubwa na nyingi to the extent mtu anae angalia movies toka zamani na kuzoea kuangalia za nje ina kua kazai kweli kuvumili sababu kubwa kwamba movies zetu hazina suspense. I wish ifike a time ambayo hata mimi naenda dukani kutaka movie fulani ya Kitanzania huku nikijua nita enjoy....

Big up watu wa film industry, someni historia za Movie entertainment Bollywood na most importantly Hollywood then tuta observe nao walianza kwa kuchechemea....
 
You and i know the words in blue don't matter... as long as you were at the spot! so pleeease stop being modest. In red you are not doing justice to the experience and movie set exposure you got.. Good doesn't even start defining it in prologue... Post them pics looking forward to seeing them.... will definitely be visiting your profile soon..
Hahah yaishie hapo hapo, anyhow tangu nikiwa 14 nilikuwa na ndoto za kuwa director( (well bado hazijafa) I was dealt with a major blow baada kupitia pitia kwenye sets za film za hollywood. Oh well tusichafue thread ya movie review (The Mechanic), Inabidi tuanzishe thread kwa ajili ya movie review. Sema tatizo la review zangu zitakuwa zinaanzia kwenye visual effects, set designs mambo kama hayo itabidi mnisamehe.

**Kuna mtu yoyote ameangalia Fast Five na Thor? Fast Five imenivutia sana ukizingatia ukitoa ya kwanza zilizofuatia zote kabla ya hii zilikuwa miyayusho sana.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Hayo uliyo yaeleza ni kweli kabisa sister, Kuna filam ambazo mimi nimeletewa kuziangalia, na kwa sababu ni siku nyingi sana sijaangalia michezo ya kiswahili nikaingiwa na hamu kubwa sana kuzitazama.

Ni kweli kama umezoea kutazama filamu za kigeni haswa hollyhood, unaweza kukerekwa sana na jinsi waigizaji wasivyovaa uhalisia...! Na kero nyingne ni pale wanapounganisha na subtitle ya kiingereza na kabisaa wanaharibu, kiasi ya kwamba unaweza sema kuwa Tanzania hakuna wanao juwa lugha ya Kiingereza vizuri.

Hata hivyo naweza kusema kuwa Watanzania ni wanavipaji katika mambo mengi sana na haswa kwenye uigizaji... Tatizo linakuja tu, hawana shule, hawa watu wanapaswa kwenda kule chuo cha sanaa Bagamoyo wakanolewe na nina uhakika wakitoka huko watakuwa moto wa kuotea mbali.

Naweza kusema kuwa kuanzia uandikaji wa Hadithi, script, location na muendelezo wa simulizi wote wanapaswa kwenda kujinoa uko Chuo cha Bagamoyo.

Lakini kama wataendelea hivi hivi tu, hawatafika popote kwa kweli.

Kuna hizi chache nimeziona najuwa ni za siku nyingi:

Kuna hizi chache nililetewa:

Yellow Banana
Nargis Mohamed
Vicent Kigosi
Blandina Chagula

Off Side 1 & 2
Vicent Kigosi
Irene Uwoya
Steven Kanumba

Hizi hapa chini njinazo ila sijaziangalia bado.Why Me
Kwanini mimi

Cheni

Mahabuba

Shumileta
Queen of Devil
 
lol....lol... Umegundua tulishaanza kuchakachua.... Enways...

I almost did not watch fast five tokana na ukweli kua pamoja na kujitahidi koote simpendi Vin diesel (simchukii pia) niliangalia part one ikabiboa yule demu alipokufa and as you have said zilizofuata hapo zilikua useless hata sikuangalia; hio fast five niliangalia accidentally nilipomtembelea a friend of mine.... Picha ambayo nimewahi mkubali Vin Diesel ni Pitch Black peke yake! And of course fast five is also fast and furious... niliipenda...
 
Hayo uliyo yaeleza ni kweli kabisa sister, Kuna filam ambazo mimi nimeletewa kuziangalia, na kwa sababu ni siku nyingi sana sijaangalia michezo ya kiswahili nikaingiwa na hamu kubwa sana kuzitazama.
Kuna hizi chache nililetewa:
Yellow Banana
Nargis Mohamed
Vicent Kigosi
Blandina Chagula
Off Side 1 & 2
Vicent Kigosi
Irene Uwoya
Steven Kanumba
Hizi hapa chini njinazo ila sijaziangalia bado.Why Me
Kwanini mimi

Cheni
Mahabuba
Shumileta
Queen of Devil

X-PASTER Katika mambo ya movies tukikutana katika thread
nyingine ni nyingi ambazo woote (mimi na wewe ) tulipenda.
Hivyo i trust your judgement na nanunua kwanza moja tu ya hizo
umetaja then kama kawa sababu hua tunakutana humu humu
narudi na feedback after this weekend Mungu akijalia....

THANK YOU.
 
Hakuna shida.
 
Hahah yaishie hapo hapo, anyhow tangu nikiwa 14 nilikuwa na ndoto za kuwa director( (well bado hazijafa) I was dealt with a major blow baada kupitia pitia kwenye sets za film za hollywood. Oh well tusichafue thread ya movie review (The Mechanic), Inabidi tuanzishe thread kwa ajili ya movie review. Sema tatizo la review zangu zitakuwa zinaanzia kwenye visual effects, set designs mambo kama hayo itabidi mnisamehe.

**Kuna mtu yoyote ameangalia Fast Five na Thor? Fast Five imenivutia sana ukizingatia ukitoa ya kwanza zilizofuatia zote kabla ya hii zilikuwa miyayusho sana.
Mkuu hizi muvi mbili achana nazo kabisa nimeangalia zaidi ya mara mbili haziishi hamu ya kuziangalia
 
So very typical... the movie is about racing cars... Of course you love it....
 
Duh wewe kweli kiboko, my verdict on Thor ni okay movie sintoshangaa wakija na sequel sikuwahi kusoma comics za Thor kwa hiyo sijui kama wameifanyia justice au la.

Nilichoipendea hii movie mbali ya the usual ni the craziest heist of all time lol... Inabidi twende kwenye ile A Must See thread tukafanye review sasa.
 
A must See iloanzishwa na BAK (Babu Ataka Kusema) or am i wrong... Eqlypz i think there are more than 15 movies mule....
 
Nakumbuka huo uzi ila address yake ndio nishasahau...!

Ebu nipatie na mimi.
 
So very typical... the movie is about racing cars... Of course you love it....
It's crazy
Duh wewe kweli kiboko, my verdict on Thor ni okay movie sintoshangaa wakija na sequel sikuwahi kusoma comics za Thor kwa hiyo sijui kama wameifanyia justice au la.
Mkuu Eqlypz i was thinking the same, halafu what is your opinion kuhusiana na movie ya I AM NUMBER FOUR

Nilichoipendea hii movie mbali ya the usual ni the craziest heist of all time lol... Inabidi twende kwenye ile A Must See thread tukafanye review sasa.
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom