Kwa hiyo kujenga taifa 24/7? Noma, utapata hasara. You have to have some fun.
Kwa hiyo kujenga taifa 24/7? Noma, utapata hasara. You have to have some fun.
huyo anaesema kujenga taifa 24/7 lazima awe na matatizo.. hata einsten took breaks. im sure sio mpenzi wa movie,kwani ukimuuliza timu gani inaongoza kwenye ligi lazima akutajie. kwenye spare time wengine hulala, wengine hula, huangalia mpira..na wengine kama sisi huangalia movies. hata kuingia humu it is spare time,because im sure hapa sio kazini kwako au vp.. kujenga taifa tutajenga,lakini relaxation is a human need