Movie Recommendations

Outlier

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
323
17
Hi;

Siku hizi youtube wana mambo mapya, nenda video na utaangalia free movies.
Recommendations;
1) The blue Lagoon - Romance
2) Slave of the cannibal god - Scary

By the way, ijumaa angels and demons itakuwa out!

Good luck.
 
Tatizo muda mkuu..taifa letu ni changa na litajengwa na wenye moyo kama mimi na wewe..
 
sio youtube peke yake.. kuna websites nyingi za kuangalia au kudonwload movies online. but youtube is not a bad choice itself
 
Kwa hiyo kujenga taifa 24/7? Noma, utapata hasara. You have to have some fun.

huyo anaesema kujenga taifa 24/7 lazima awe na matatizo.. hata einsten took breaks. im sure sio mpenzi wa movie,kwani ukimuuliza timu gani inaongoza kwenye ligi lazima akutajie. kwenye spare time wengine hulala, wengine hula, huangalia mpira..na wengine kama sisi huangalia movies. hata kuingia humu it is spare time,because im sure hapa sio kazini kwako au vp.. kujenga taifa tutajenga,lakini relaxation is a human need
 
Kwa hiyo kujenga taifa 24/7? Noma, utapata hasara. You have to have some fun.

Actually, to be precisely najijenga sio taifa ...lol. Taifa lilikuwepo enzi za Mwalimu..siku hizi kila mtu na lwake. Nway mwaga title zaidi za hizo muvie ili tujue zipi zenye unafuu wa kuumiza macho.
 
huyo anaesema kujenga taifa 24/7 lazima awe na matatizo.. hata einsten took breaks. im sure sio mpenzi wa movie,kwani ukimuuliza timu gani inaongoza kwenye ligi lazima akutajie. kwenye spare time wengine hulala, wengine hula, huangalia mpira..na wengine kama sisi huangalia movies. hata kuingia humu it is spare time,because im sure hapa sio kazini kwako au vp.. kujenga taifa tutajenga,lakini relaxation is a human need

Mkuu usikuze mambo, relax..hakuna aliyesema anajenga taifa 24/7.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom