Movie 🎦 night πŸŒƒ


Kwakweli unapenda uwe center of attention...
Sikuwa nimelitambua hili.

Na hapa hawajakupa Uplatinum.😊😊😊😊.
 
Horro huwa sizipendi sana... Maana hata story line zake huwa hazieleweki...

Hiyo ikoje mkuu?
Mbn zinaeleweka? Overview ni kuwa kuja Baba anampeleka Mwanae mdg kumfundisha kuwinda kwa kutumia upinde far away kwny kijiji chenye watu na makaburi ya ndugu zao waliouawa miaka mingi iliyopita....then wanafika kwenye kijiji cha mizimu na Vampires walio hai, so inabidi kuwaua kwa mishale
 
Ni kisha Sikia mizimu nakacha kabisa
 
Nimeonyesha centa of atenishen kwa mfano , ni ndugu yangu ndio bwashee

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Sasa kati ya Kidole na Donati ni nani center na nani attention?.

Au una maanisha kuna center alaf anataka attention?.
 
Sijaicheki bado ila reviews za watu inaonyesha ni nzuri hata mauzo yake, mi movie ya marvel nayoisubiri kwa hamu na hyo lazima nikaicheki sinema siku ya release ni Avengers Dooms day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…