MOVIE IN DEMAND: Excerpt From Movie Script Titled ...MAHALI FULANI TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MOVIE IN DEMAND: Excerpt From Movie Script Titled ...MAHALI FULANI TANZANIA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Jun 24, 2011.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Mahali Fulani TANZANIA
  WAZO LINAKUJA…….Kikwete na Lowasa wanajadili;

  Lowassa: Hivi mshikaji haiwezekani mmoja wetu akawa rais?

  Kikwete: Kwa kusita ….inawezekana ila siyo rahisi sana

  Lowassa:
  Inawezekana sana, sema haujaamua tu

  Kikwete: Akiangalia chini anawaza kitu Fulani, mara anashtuka na kumweleza ukweli

  Lowassa: ''niliwahi kuwaza kuwa rais siku moja ila sidhani kama ndoto yangu inaweza kutimia!  Lowassa:
  Tujaribu wewe ukipata mimi waziri mkuu, mimi nikipata wewe waziri mkuu sawa?Lowassa na Kikwete

  Wanaanza kampeni mbalimbali huku na huko, wanakutana na usalama wa taifa, jeshi, na viongozi wa dini, na wameishaanza kupata michango ya hapa na pale. Wanaenda kurudisha fomu zao kwa mara ya kwanza..the boys two men. Jeshi haliwataki, uslama wa taifa umewatolea nje…….lakini hawakati tamaa!..Kikwete na Lowassa wanaenda kumwona Mwinyi, kuwa wanaomba support yake!!!

  Usalama wa taifa
  Wana ripoti kwa Nyerere na Mwinyi kuwa kuna watu wameanza kampeni mpaka kwenda kwenye dolla. Usalama wa taifa wanaleta jina la Mr.Clean..Mkapa kwa Nyerere kuwa hana tatizo…wanamweleza Nyerere kuwa Kikwete ameishamwona Mwinyi kutaka support yake!
  DODOMA TANZANIA
  Nyerere (anamuuliza kitu Mwinyi); nimesikia kuna vijna wawili wanataka urais kwa udi na uvumba?

  Mwinyi : Sijasikia (kadanganya)

  Nyerere:
  Nilikuambia kuwa uwe karibu na usalam wa taifa mbona mimi Napata taarifa wewe huna?

  Mwinyi: Kimya
  Nyerere:
  usipokua makini utapinduliwa dogo?

  Mwinyi:
  Tufanyeje mkuu?

  Nyerere: Niachie Lowassa, na ninakuachia Kikwete…. ila asipate kura nyingi (mtego)

  MCHUJO
  Nyerere ……anamtoa knockout Lowasa

  Kikwete: Kura hazijatosha
  MKAPA ERA ENDING
  Lowassa na KikweteWanakumbushia wazo lao sehemu Fulani……

  Lowassa: Yule mzee marehemu nom asana alini haribia mkuu, sasa hapa wewe tutahakikisha utakuwa RAIS!

  Kikwete :
  Sawa ila je tutafanyaje? Usalama wa taifa, polisi na jeshi hawanaitaki kabisa!!!Lowassa : usihofu fedha tu zitawakalisha kimya

  Lowassa (anaendelea) tutatumia media, makanisa, misikiti, wasanii kukupamba wewe

  Kikwete …
  fedha nyingi sana zitahitajika…(anakohoa kidogo….huku ameshika kiuno)

  Kikwete :(anaendelea) kwanza nikamwone Mkapa kuhusu fedha za
  EPA tunaweza kuzitumia
  Lowassa ; Usiende, Mkapa hawezi kukubali yule, wala usimuhusihe kabisa kwenye mipango yako ya urais!

  Wanabishana kidogo….

  Kikwete
  : acha nijaribu….
  MKAPA NA KIKWETE

  Kikwete : Boss, naomba tutumie fedha za EPAMkapa : Kwa ajili ya nini?

  Kikwete: anasita kusema na kuleta siasa nyingi

  Mkapa ; anajibu kwa kifupi NO..haiwezekani.
  KIKWETE, LOWASSA NA SITA

  Wanaanza kampeni halmashauri kuu ya taifa ya ccm, usalama wa taifa, jeshini, polisi, majaji, makanisani na misikitini, media ziko kazinin.k……anapata baadhi ya watu halmashauri kuu, anapata support ya wan-dini, na wana nchi wengi. Usalam wa taifa hawamtaki…jeshi hawamtaki. Akina Sita wanaingilia kati kuokoa jahazi (sijui alitokea wapi), mkutano wa Kikwete na Sita, unapelekea sita kuhadiwa uwaziri mkuu..bila Lowassa kujua
  Usalama wa taifa na Mkapa
  UWT: Mkuu vipi mbona kimya nani mrithi wako?Mkapa..Salim!

  UWT: good!Mkapa; (huku akifunga novel aliyokuwa anasoma).. nitahakikisha halmashauri inampitisha Salim ikishindikana Mwandosya! Kikwete hafai hata kwa dawa!
  LOWASSA, KIKWETE, ROSTAM…
  Lowassa: nasikia Mkapa hakutaki Kikwete anamtaka salim

  Kikwete; nimesikia

  Rostam: cut it short we need money we will bribe these people..leave this to meKikwete: ongea Kiswahili basi, ili tupange vizuri…

  Rostam: Mimi , Lowassa na baadhi ya marafiki zetu tutahakikisha unaingia ikulu…
  MATOKEO NDANI YA CCM
  Halmashauri kuu wanaongwa, wajumbe wanaongwa……Matokeo Yanaonekana kuwaduwaza Mkapa na UWT…….confusion imetawala hawakumtegemea kikwete, wanategemea visasi sasa!..Mwinyi anafurahi….Kikwete anamwona Rwekaza Mkandala…..Mkandala anampa kauli mbiu ya Nguvu Mpya, kasi mpya…
  UTEUZI WA WAZIRI MKUU
  Sita: anampigia simu Kikwete, (mkuu usinisahau mwenzio sili silali nasubiria kutangazwa waziri mkuu)

  Kikwete: akisonya sonya…Sita haitawezekana unajua….unajua……Lowassa aliwahi siku nyingi kidogo, wewe utapata u-spika na kila marupurupu ya kama waziri mkuu utapata


  Sita:
  anakata simu kwa hasira!Kikwete anabadili wakuu wa idara zote ambazo hazikumpa support alivyokuwa anautaka urais
  SITA NA KIKWETE SEHEMU FULANI
  Kikwete na Six wanapatana sehemu Fulani…..

  Sita:
  waziri mkuu ameishakuzidi nguvu, yeye ndiyo kama rais sasaKikwete: fanya kitu aondoke madarakani, please usinitaje jina langu hatujuani katika hili

  Sita:
  sawa mkuu!Lowassa anajiuzulu lakini anajua mchezo ulivyopikwa!
  KUJIVUA GAMBA

  Kikwete; Huyu jamaa anaweza kuchukua nchi na kulipiza kisasi, mke wangu na watoto na riz1 wangu watakuwa hatarini!!

  Kikwete anaita wanamtandao na kujadili kiundani! Anamwona Mkandala tena, Mkandala anamweleza aseme jivue gamba! Kikwete anaibuka nayo, lengo ni kumtoa Lowassa nje
  !

  KIKWETE,LOWASSA ROSTAM na CHENGE sehemu Fulani Dodoma..kikao cha kujivua gamba

  Rostam: (akimkazia macho Kikwete) Tulitumia 32 billioni kukuweka madarakani

  Kikwete: NajuaLowassa: nilitoa 10 billioni zile za EPA unajua hazikutoshi

  Chenge: utapata aibu katika hili mheshimiwa? Mengine tumekubali kutukanwa na kubeba mizigo lakini wewe ndie chanzo


  Rostam: Mwambie Mkama na Nape wako, wabadili upepo wa hili swala, hatujaamua kusema,… damu itamwagika nchi hii acha upumbavu wako, I made you who you are today!!! Same force that installed you there will be used equally to un-install!

  Kikwete:(anajibu kwa kiingereza) I understand sir!
  2015
  Lowassa pamoja na madhambi yake anakubalika UWT,Jeshini, Polisi, n.k simply kwa sababu mabosi walioletwa kwenye hizi sectors hawakupendwa, kwa hiyo uasi uliofanyika ni ..BORA LOWASSASLAA lilikuwa chaguo la UWT..Ila wanasema wanamwogopa SLAA kwa sababu haambiliki, ana misimamo na unpredictable, hawezi kuongozeka!UWT wamechanganyikiwa,jeshi limegawanyika, polisi wamegawanyika. Pamoja na nguvu ya Lowassa ya wengi UWT wanakabiliwa na changamoto kuwa heshima ya kitengo hiki irudi……wenye maamuzi mazito hawamtaki LowassaJeshi kuchukua nchi……….This is UWT plan kama hakitaeleweka......will it be?

   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  nice script,ila inabidi itengenezwe na kuuzwa kwa siri kama darwin's nightmare
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Itakuwa Movie kali sana, ulichoandika inaonekana kama umekisoma kwenye fikra zangu, safi sana Engineer.
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tuanze mchakato wa kumpata Movie Director? Au Mkuu utai-Direct mwenyewe?
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Mwenyewe sir, the Spielberg wa Tanzania!
   
 6. Emmadogo

  Emmadogo JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4,162
  Likes Received: 3,384
  Trophy Points: 280
  Daa! Mwanangu kanumba asije akaiba, WHY UR NT IN HOLLYWOOD
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Naomba kucheza nafasi ya Mr Clean.
   
 8. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo pseudocode nimeikubali mwanangu.

  sasa chagua programming language inayoeleweka kirahisi ili tukusaidie ku-develop.
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwanini iuzwe kwa siri? Tamaa zao za madaraka si ndizo zimelifikisha Taifa hapa lilipo? Umeme taabu, mauaji ya watu wasio na hatia kila mahali, maisha magumu nk. Walifikiri U-Rais ni lelemama?
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa nini usitengeneze movie kabisa mkuu?
   
 11. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Naomba nicheze pa Lowassa hapo, namchukiaje,
   
 12. b

  babajohny Member

  #12
  Nov 16, 2013
  Joined: Nov 16, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  this is it
   
 13. m

  mshumbue-soi JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2013
  Joined: Aug 28, 2013
  Messages: 1,839
  Likes Received: 786
  Trophy Points: 280
  waza na habari za kungolewa meno bila ganzi
  utakuwa ume balance wazo
   
Loading...