Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

seven-freeman-pitt.jpg


seven
 
Mtoa mada upo vizuri ila unechanganya Mambo ya investigation/ upelelezi kwa kujumuisha na kijasusi ambapo ni vitu 2 tofauti japo vinakaribia kuendana
 
Don Yen na Kajamaa flani hivi kanavaa miwani na kofia ya kikanda bongoman, tena mwenye kuijua anikumbushe jina la hiyo Movie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom