Movie: Affinity

Movie: Affinity

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
16,997
Reaction score
23,639
Ni movie inahusiana na jamaa ambaye ni mstaafu wa jeshi anajikuta anamsaidia bidada mrembo ambaye alikuwa kwenye Hali mmbaya ambaye hamfahamu.

Bidada huyo hana kumbukumbu kwa kile kilichomtokea jamaa anaamua kuishi nae na kujikuta anahisia za kumpenda dada huyo mzuri but kuendelea kuwa nae karibu anajikuta anajiingiza kwenye matatizo bila kutarajia unafikiri huyo Binti ni Nani? Na hayo matatizo ni yapi
 
IMG_0366.jpeg
 
Back
Top Bottom