Mathias malange
Member
- Apr 6, 2012
- 6
- 0
Rafiki umeacha jimbo la 5 Arumeru magharibi.!Hapa kuna majimbo matatu manne ya kuyapigania nayo ni
1. Longido
2. Simanjiro
3. Kiteto
4. Monduli
Haya ndo majimbo magumu yaliyo bakia ila kwa kumtumia huyu millya nina uhakika yatakubali mziki wa CHADEMA
ngoja wana memba watujuze
Ndugu yangu unasema mafisadi watakwisha huku wakitoka CCM, Chadema ina wapokea?
Rafiki umeacha jimbo la 5 Arumeru magharibi.!
CDM nikama nzige usiombe wavamie shamba lako utajuta kuwa mkulima.m4c ni noma
ongezea ngorongoro na serengeti very potential
polisi wenywe wameshajichokea