Move ya Sarafina, Miss Masombuka

Move ya Sarafina, Miss Masombuka

Mie namuelewa kijana mmoja aitwa Stimela..........kuna kipande anaulizwa na afande wa ki-boer whats your nama? Anamjibu ''Stimela......number one soweto express.....all the women loves me'', ukichanganya na chejo zake mbele ya maafande basi tabu tupu.
 
Mie namuelewa kijana mmoja aitwa Stimela..........kuna kipande anaulizwa na afande wa ki-boer whats your name? Anamjibu ''Stimela......number one soweto express.....all the women loves me'', ukichanganya na chejo zake mbele ya maafande basi tabu tupu.
 
Ni jana tu nilikuwa kwenye hicho kitongoji cha Soweto (South West Township) nilipata bahati ya kupata historia yote ya jinsi mauaji ya mwaka 1976 yalivyotokea. Kuna kumbukumbu nyingi katika mtaa wa Vilakazi eneo ambalo ndipo yalipotokea mauaji ya wanafunzi na jumba la makumbusho la kumbukumbu ya mwanafunzi Hector Pieterson mwanafunzi wa miaka 13 wa kwanza kuuawa katika mapambano ya wanafunzi na Polisi wa Kikaburu.

Kuna picha kubwa inamuonyesha Hector Pieterson akiw aamebebwa mwanafunzi mwenzie aitwaye Mbuyisa Makhubo na pembeni yake akiwa na mwanafunzi mwingine aintwae Antoinette Sithole, huyu mama bado yu hai na anapatikana kwnye hilo jumba la makumbusho akisimulia watalii kile kilichotokea mwaka 1976.

Mbuyisa Makhuba alitoweka kusikojulikana, lakini inasemekana amaonekana nchini Canada na kuna mpango wa kuchukuliwa vipimo vya DNA ili kuthibitisha kama ni yeye kwani tangu yalipotokea machafuko na picha yake kusambazwa kwenye vyombo vya habari alikuwa akitafutwa na makaburu kwa udi na uvumba.....
 
Niliiangalia mwaka 92nimwakakuta 2008 wanaiangalia kigoma uvinza kama movie mpya na walikua na hofu sana
 
nenda wikipedia ya hiyo movie then anza kutafuta characters wote utapata taarifa mpaka jana wamekula nini!

Mkuu Waberoya pole, yawezekana hujui faida ya mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii iko ktk mfumo ya Two way communication. Mleta uzi anajua sana kuwa kuna Wikipedia, Google, Yahoo, Excite, Amazon n.k.,lakini mleta uzi ameona ni muhimu kuleta mawazo yake hapa ili wewe na mimi tuchangie lolote. Kama ndivyo wewe usingekuwa hapa jukwaani.
 
"This is an act of mindless vandalism,it is madness,if anyone here is responsible for this; I want to say this to you,why don't you blow up your own brains? go ahead..it is not different,the schools are your only chance if you don't want education do not come to school,burn the school and you have no future.If anybody is responsible for this; you are all crazy.I don't understand you, i don't like what you are doing and I want you to stop.Alright.......alright?"

The principal talking to his students
 
Niliiangalia mwaka 92nimwakakuta 2008 wanaiangalia kigoma uvinza kama movie mpya na walikua na hofu sana

ha ha haaaaaaaaaaaa yani nimecheka sana khaaaa watu mna vituko sana jamani daah
 
Ni nzuri ila nikiiangalia bado naona machungu
 
nakumbuka yule miss masombuka akiusifia mlima kilimanjaro wakati picha linaanza.
 
Mkuu Waberoya pole, yawezekana hujui faida ya mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii iko ktk mfumo ya Two way communication. Mleta uzi anajua sana kuwa kuna Wikipedia, Google, Yahoo, Excite, Amazon n.k.,lakini mleta uzi ameona ni muhimu kuleta mawazo yake hapa ili wewe na mimi tuchangie lolote. Kama ndivyo wewe usingekuwa hapa jukwaani.

nimekuelewa sana mkuu...mtu anapoleta uzi haimaanishi hajui kama kuna search engne bali tunashare uelewa wetu na kuna vingne hata ukivitafuta huko huvipati ila hapa jukwaan vinapatika..kumezeshwa kubaya sana!
 
Back
Top Bottom