Move ya Sarafina, Miss Masombuka

Move ya Sarafina, Miss Masombuka

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
20,890
Reaction score
47,611
Habari wanajukwaa..
Hii filam aisee naipenda saana, na hua hianiishii hamu kuitazama muvee hii,

Miss Masombuka ananikumbusha kipindi nasoma history ya south africa pale UDSM mwaka wa pili

This is very interesting move

Je Sarafina yuko wapi siku hizi???
 
sarafina jina lake halisi
leleti khumalo yupo johannesburg sa kawa mtu mzima tu. alikuwa anaact katika no 1 soapie south africa called generation akaresign 5years ago sasa hivi anaact movies..movie producer na ni businesswoman
 
remember Crocodile?harakati za Stimela je?puppet Constebo Sabela?

Crocodile "the killer disease is in South Africa but only the boers are getting it" a story with a happy ending
 
wakati naona hii movie nilikua bado mdogo sasa kwenye cover walikua

wameandika based on true story.. yaani mi nikajua ndio ukweli ukweli

wale waigizaji... yule kaka aliekua anampenda sarafina nimemsahau jina

alivyopigwa risasi nililiaje.., nilikua najua kafa kikweli kweli.. ni movie nzuri
 
Umenikumbusha mbali mno..nilikua napenda pale mwanzo inavoanza...'come on nelson,why cant i be a star?what does the star do?nothing..look at the camera..smile to the camera..look at everybody big eyes..say nothing..aisee nilikia siichoki hii movie hadi leo
 
Kiukweli ni bonge la movie mimi pale kwenye sala tu wana hisia sana na pale miss masombuka anavyowafundisha hustoria ya wazungu wakiingia anabadilii mada patamu sana aisee
 
Umenikumbusha mbali mno..nilikua napenda pale mwanzo inavoanza...'come on nelson,why cant i be a star?what does the star do?nothing..look at the camera..smile to the camera..look at everybody big eyes..say nothing..aisee nilikia siichoki hii movie hadi leo

Mkuu hii I could want it every day bila kuichoka.....miss mary masumbuka, you are a very nice teacher, from now onwards, follow the authorized syllabus.... Mkuu lasix ID yako unanikimbisha loop diuretics.....ha ha haaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
nenda wikipedia ya hiyo movie then anza kutafuta characters wote utapata taarifa mpaka jana wamekula nini!
 
Umenikumbusha mbali mno..nilikua napenda pale mwanzo inavoanza...'come on nelson,why cant i be a star?what does the star do?nothing..look at the camera..smile to the camera..look at everybody big eyes..say nothing..aisee nilikia siichoki hii movie hadi leo

kiukweli Sarafina ni moja ya my all time movie,sichoki kuingalia,tena wakianza kupiga na manyimbo yao yale ndio kabisaaaaaa
 
wakati naona hii movie nilikua bado mdogo sasa kwenye cover walikua

wameandika based on true story.. yaani mi nikajua ndio ukweli ukweli

wale waigizaji... yule kaka aliekua anampenda sarafina nimemsahau jina

alivyopigwa risasi nililiaje.., nilikua najua kafa kikweli kweli.. ni movie nzuri

yule jamaa anaitwa Crocodile,katika maisha ya kawaida jamaa aliishafariki.
 
They kill you because you are young. They kill you because your the generation of the future........
Nice movie.
 
Back
Top Bottom