Mount meru selectioooon.....

Kiko wap hcho chuo?

Kipo nje ya mji wa arusha, zaidi ya kilometa 15 toka town center, unapanda hice hadi ngaramtoni, then unapanda nyingine ya kwenda oldonyo sambu. kinamilikiwa na wabaptist. Bado ni kidogo mno, kwa waliosoma ilboru, mazingira ya pale ni mazuri zaidi. Kama eikenywa vile.
 
Back
Top Bottom