Kwa muhtasari: mimi nafuata mafundisho ya dini. Yananitaka niwe muadilifu, na uadilifu ni kutenda haki. Kwa msingi huo, palipo na haki mimi nipo pasipo kuangalia inatoka kwa nani.Ukitoa Kutangaza SIKYKUU, ni mamlaka gani mengine ya LAZIMA kutika BAKWATA lazima myafuate?
Kwanini wakipuyanga huwa mnakubaliana nao??
Mwaka 1992 nani alikuwa Rais wa nchi hii? Mzee Ruksa ambaye ni dini ganiMOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Bora kuondoka tujue tu maana matusi yamezidi , mbona kuna hospitali kibao tu hazina uhusiank na serikali na zinafanya vizuri.Si lazima kuondoa.
MoU ikifa gharama zitapanda, maana hakutakuwa na msamaha wa kodi.
Kuna Masheikh ambao hawakwenda SHULE na pia umasikini umewatafuna sana...ndio maana ni rahisi sana kutumika kwa propaganda za kijinga kwa gharama ndogo sana.Kwa muhtasari: mimi nafuata mafundisho ya dini. Yananitaka niwe muadilifu, na uadilifu ni kutenda haki. Kwa msingi huo, palipo na haki mimi nipo pasipo kuangalia inatoka kwa nani.
Na namshukuru Mungu amenipatia akili na elimu. Hivyo, nashirikiana na mtu penye kheri (penye usahihi), na nitatofautiana na mtu pasipo na usahihi.
Bakwata wanachokifanya na baadhi ya wanaojiita masheikh si sahihi kwa kadhia wanayoileta kwa sasa kwenye jamii. Halikadhalika, hata huyu mleta Uzi napingana naye mtazamo wake.
Aidha, iwe kwa sasa au kwa baadaye, Bakwata watakachokifanya ambacho si sahihi nitatofautiana nao.
Dp world haisaidii waislamu tu Bali inasaidia Watanzania wote kutokana na mapato yanayopatikana.DP WORLD wanasaidia nini WAISLUM?
Wenye AKILI walipinga DP WORLD kutokana na MKATABA wao, sasa nyie mnafurahia DP WORLD kwasababu ni WAARABU?
Sbyoe ni kitu MUHIMU sana.
Kwahiyo suala la KUACHA ,UTEKAJI, MAUAJI, ni mchakato wa Muda gani???
Samia kakosana na WANANCHI, na KAANZA KUHUBIRI UDINI.
Kajibanza JESHINI, akae akijua hata SISI WANAJESHI TUNA DINI ZETU.
Sisemi sana.
Ndio maana wenye AKILI TIMAMU walihoji MKATABA ulioingia kati ya SERIKALI na DP WORLD.Dp haisaidii waislamu tu Bali inasaidia Watanzania wote kutokana na mapato yanayopatikana
Waliohoji ni wakatoliki kwa kuwa mianya yao ya wizi imedukuliwaNdio maana wenye AKILI TIMAMU walihoji MKATABA ulioingia kati ya SERIKALI na DP WORLD.
Kwasababu NCHI imeshapigwa vibaya sana, na SERIKALI haiaminiki.
Walijiona Wana nguvu kutokana na past experiences kila walichokipinga serikali iliwakubalia kiasi ya kwamba hata walipoamua kuzikwamisha haki za Waislamu waliweza kufanya hivyoUnamaanisha TEC walikua na nguvu kuliko serikali ya kikwete?
Mm sio TEC, alafu hii kusema sio daraja la kwanza au la pili ni hofu tu mliyo nayo hasa watu wanaojihisi unyonge. Unafikiri GSM au bakhressa anaweza kutoa hiyo kauli?
MIANYA ipi??Waliohoji ni wakatoliki kwa kuwa mianya yao ya wizi imedukuliwa
Hawana njaa si mnawachangia zaka na sadaka ...ngoja panuke uone wale waumini kama wataleta hizo zaka stupid wa headcatholic hawana njaa F.la ww na ujue serikali ndio iliiombaga catholic
Na nyie changieni MASHEHE wenu waache kutumika na kujidhalilisha kwa sahani ya ubwabwa.Hawana njaa si mnawachangia zaka na sadaka ...ngoja panuke uone wale waumini kama wataleta hizo zaka stupid wa head
Kaisome MoU vizuri ndiyo utajua kama ni Sababu ya Hilo. Pimbi wewempaka leo hii hospitali nyingi za wilaya ambazo ni za serikali hazina lolote na rufaa zao wanapeleka hospitali za DDH za catholic
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Hiyo uliyonayo ni hofu dhidi yao, hawana huo ukubwa na hawajawahi kuwa nao.Walijiona Wana nguvu kutokana na past experiences kila walichokipinga serikali iliwakubalia kiasi ya kwamba hata walipoamua kuzikwamisha haki za Waislamu waliweza kufanya hivyo
Serikali imeshagundua nyie ni WAPUMBAVU, MAJUHA na wa BEI ndogo.Walijiona Wana nguvu kutokana na past experiences kila walichokipinga serikali iliwakubalia kiasi ya kwamba hata walipoamua kuzikwamisha haki za Waislamu waliweza kufanya hivyo
Kwani wewe ulikuwa hujui kuwa walikuwa wanakwepa Kodi kwa kuingiza bidhaa zao bure kwa kisingizio Cha dini?MIANYA ipi??
Kulikuwa na WIZI Bandarini. Na bado unaamini kuna SERIKALI??
Sasa kama BANDARINI watu wanaiba, hao DP WORLD wameletwa na Allah kuja kuzuia WIZI??
Hebu PELEKENI watoto Wenu SHULE wasiwe na AKILI kama ZENU
Wewe hujui historia ya umiliki wa schools and hospitals kongwe za nchi hii. Jifunze kwanza hiyo historia ndipo uje uanzishe mjadala!MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Kwani waislamu hawakulilalamikia hili mbona hawakupewa?Hiyo sio MoU ya TEC tuu, ni kwa makanisa na taasisi zote za kidini, hata BAKWATA mnaruhusiwa humo,ila udini na chuki vimemaliza akili zenu hamuwezi kuelewa, debating watu kama nyie ni kupoteza muda tuu