Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI
Sasa waislam mtatibiwa na kusoma wapi?MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI
Sasa waislam mtasoma na kutibiwa wapi ?Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa waliambia sana raia wa nchi, sasa wamekisana wataka kuweka wizi wao hadharani.
Hindu mandalSasa waislam mtatibiwa na kusoma wapi?
Kwani tukienda kutibiwa hospital za kanisa tunatibiwa bure?Sasa waislam mtatibiwa na kusoma wapi?
Nyerere ndie alikabidhisha serikali kwa TECcatholic hawana njaa F.la ww na ujue serikali ndio iliiombaga catholic
Kwani lengo la kanisa katoliki ni kusaidia wakatoliki masikini au lengo ni primitive accumulation of Wealth?Sasa waislam mtatibiwa na kusoma wapi?
mpaka leo hii hospitali nyingi za wilaya ambazo ni za serikali hazina lolote na rufaa zao wanapeleka hospitali za DDH za catholicNyerere ndie alikabidhisha serikali kwa TEC
Hamna jambo ambalo State power inashindwa kufanya hapa Africa usijipe matumaini ya bure....kama raia zaida ya 1000 wanauliwa na kila kitu kinakua normal sembusa kufuta usajili wa TEC.Ifungieni TEC kama Ufufuo na Uzima au mnaogopa ?
Huo ndo wizi hiyo MoU inakataza serikali kufungua hospitali nyingine kanda hiyo, ni upuuzi kuna haja ya kupitiwa upya.mpaka leo hii hospitali nyingi za wilaya ambazo ni za serikali hazina lolote na rufaa zao wanapeleka hospitali za DDH za catholic
Hamna jambo ambalo State power inashindwa kufanya hapa Africa usijipe matumaini ya bure....kama raia zaida ya 1000 wanauliwa na kila kitu kinakua normal sembusa kufuta usajili wa TEC.
kufuta TEC haiwezekaniHamna jambo ambalo State power inashindwa kufanya hapa Africa usijipe matumaini ya bure....kama raia zaida ya 1000 wanauliwa na kila kitu kinakua normal sembusa kufuta usajili wa TEC.
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
huwez ukainana serikali wakati unaendekeza njaa,Waifute MoU
Waachie masheikh wote waliowafunga Jela (Mamia)
Serikali ilete mahakama ya kadhi
Halafu cha ajabu mambo mabaya ya kuwaweka ndani masheikh, kusaini MoU Vimefanywa wakati wa rais waislamu.
Sijui kwa nini masheikh wetu hawaibani serikali yenye mamlaka ya kuwapa masilahi na badala yake wanakomaa na maaskofu