Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Wakuu kuna mdogo wangu wa kike,kapata kazi na hawa jamaa,kaniomba ushauri amuage wino alipo kwa sasa au abaki..nimejaribu ku google hawa jamaa nimekutana sijaona their operation in Tz.je kuna yoyote anafaham kwa undani wanadeal na nini hapa bongo..nasikia wapo chini ya wizara ya elimu.huyo dogo wamempangia kuanza kazi kigoma mwezi ujao.