Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
kama utakua umefatilia issue ya rockstar utajua kwanini google aliinunua motorola.
google alikua kavunja patents nyingi za rockstar. zile patents zikawa zinauzwa. apple, microsoft, sony na google wakakutana ili wazinunue kwa pamoja. google kwa tamaa zake akawazunguka wenzake akataka azinunue mwenyewe lakini kina apple wakatoa dau kubwa zaidi na kufanikiwa kuzichukua hivyo google akawa helpless. zile patent za rockstar zikawa tishio kwa google hivyo ikabidi atafute kampuni yenye patents nyingi ili kujitetea. akainunua motorola kwa hio bei. motorola ni wa pili kwa patent za simu baada ya nokia.
kwenye huu ulimwengu wa tech majengo na viwanda sio ishu sana ila patents ni muhimu zaidi. na nina uhakika google atakua kachukua wale wafanyakazi wenye talent kawaleta google kabla ya kuuza.
pia ikumbukwe motorola toka inunuliwe na google ilikua inaingiza hasara tu. hivyo hata wale shareholder wa google wamefurahi. na hata stock za google zimepanda.
angalia line ya simu za nexus google mwenyewe alikua hawatumii motorola bali anatumia makampuni kama asus, lg na samsung kutengeneza hii inaonesha google hakuwa na future na hawa jamaa.
poa nimekusoma mkuu ila google inabidi apate somo hapo kwamba,umoja ninguvu ametaka kuzunguka wenzakeke matokeoyake imemtokea puani,ila jingine ni kwamba nahisi google pia alikuwa anaitaka motorola aifanye iwe brand kubwa siyo kupata patents tu thats alianza kutoa moto x n.k sema kachemka kutokana na domination ya samsung kwenye adroid lakini pia hawezi kucontroll device mbili at the same time bora akomae na nexus coz kidogo naonyesha uhai.