Motorola imeuzwa kwa Lenovo!!

Motorola imeuzwa kwa Lenovo!!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Kampuni ya Motorola ambayo ilikuwa inamilikiwa na Google imeuzwa kwa Lenovo ya China kwa Billioni $2.9.
Kwa maana hii Google wanajitoa kwenye utengenezaji wa simu za mkononi.
Google iliinunua Motorola kwa Billioni $12 mwaka jana.
 
alichokitaka (patents) kakipata sasa anauza mascraper. lenovo nae kachemka simu anataka aongeze quality
 
duh, hatari sana. ila ngoja tuone lenovo watafanya nini labda wataifufua irudi kama zamani.
 
kaka kama umeangalia simu za lenovo ni kama michina mingine tu zinatumia mediatek mara intel atom hazina kitu unique kama moto x hivi. lenovo walihitaji sana kununua kampuni inayotengeneza bidhaa za quality kubwa kama hii ili kuweza kutoa product zenye hadhi. na kama watamatch vizuri na laptop na tablets jamaa wana potential ya kua kampuni kubwa.
 
Mkuu una chuki kubwa sana na Lenovo bila sababu za msingi. Kumbuka Lenovo ni kampuni namba mbili ya Smartphone nchini china behind Samsung. Na ni kampuni namba 3 kwa shipment ya Smartphone duniani (According to 3rd quarter Bussiness Report ya 2013. Namba 1 ni Samsung Namba 2 ni Apple na Namba 3 ni Lenovo
Sources: Worldwide Smartphone Sales In Q3 2013: Samsung, Android Maintain Lead As Apple’s Market Share Slips

Acha kudanganya watu. Kama simu yao ingekuwa ni kama michina mingine wasingeweza kuwa namba 3 duniani. Usidhani wote humu ndani hatuna uelewa wa haya mambo
 
Na kwa kufahamishana tu ni kwamba Lenovo ilinunua Division ya IBM ya komputer ambayo by that time ilikuwa ikipata hasara kubwa, Lenovo wakainunua na matokeo yake Lenovo imekuwa the Leading Computer manufacturer in the world, wameizidi hadi HP iliyokuwa ikiongoza
soorce 1 : Lenovo Emerges as World's Biggest PC Maker
source 2 :Top 5 manufacturers of personal computers in 3Q - Yahoo Finance
source 3 :Lenovo Overtakes HP as the Top PC Vendor While U.S. Shipments Stabilize in the Second Quarter of 2013, According to IDC - prUS24213513

Kwa ushahidi huo hapo juu mimi sina wasiwasi kwamba Motorola imenunuliwa na Kampuni makini na inayotambulika kwa kufanya biashara kwa nguvu kubwa kupitia strategy yao inayoitwa "Protect and Attack"
Tuipe Motorola muda mfupi utaona itakavyofanya vizuri kwenye market ya Smartphone. Hawa wachina wa LENOVO wametumwa kutafuta pesa and they are very serious. Kumbuka walitaka kununua Black Berry mwaka jana but serikali ya Canada ikakataa kutokana na sababu za kiusalama.
Jaribu kugoogle lenovo yoga laptops ambazo zinaiweka juu kampuni hii sana kutokana na innovation zao na design. Pia wana tablet nyingi sana za kuvutia na quality kubwa
 
sasa kama wao wamekamilika why watoe hela zote kununua motorola (fikiria).

asilimia 97 ya mauzo ya lenovo yanatokea china(fikiria tena)

asilimia 95 ya faida za android anaipata samsung (asilimia 5 wanagawana waliobakia)
fikiria zaidi.

Acha kudanganya watu. Kama simu yao ingekuwa ni kama michina mingine wasingeweza kuwa namba 3 duniani. Usidhani wote humu ndani hatuna uelewa wa haya mambo

kama mauzo yote yani asilimia 97 yametoka china cha ajabu ni nini nikisema kua zina low quality. karibia simu zote za lenovo zinatumia mediatek na intel atom. kaka sasa hv kama simu haitumii exynos au snapdragon 800 ujue hio simu haina chance ya kuitwa flagship. huwezi ukawa na flagship yenye cortex a7 ya mediatek.

lenovo kuinunua motorola ni kwamba wanapingana na wewe kuwa wao ni mabwana wakubwa na wanakubaliana na mimi kuwa wanahitaji quality na hardware za maana kupambana na apple na samsung.

na kukuhakikishia zaidi nitakuletea sasa hivi question and answer ya ceo wa lenovo ili ubishe zaidi kuwa naye hafai kuiongoza lenovo sababu ana mawazo kama yangu
 
wakati anahojiwa na wall street journal aliulizwa swali hili na akajibu hivi

WSJ: Why is Lenovo buying the Motorola business?

Yang: We want to become a global player in
the smartphone area. We still haven’t
entered into the U.S. market and mature
markets (in smartphones).
The Motorola
deal will definitely give us a shortcut into the
U.S. market and provide us with a world-
wide footprint. This will be a good start to
challenge the big players in the smartphone
market.
Motorola is a very good brand. It also holds
a lot of intellectual property and has very
strong relationships with U.S. mobile
carriers.

soma hapo kwenye red ceo wao anaona lenovo isingeweza kuingia soko la marekani na masoko ambayo yapo mature kama uingereza na nchi nyengine za ulaya. ila kwa kuinunua motorola wanaweza.

hebu tuangalie soko la simu sasa linahitaji nini.

1. camera kali
nokia ana pureview, motorola ana clear pixel, sony wana lens zao, samsung hawapo nyuma je lenovo ana nini? hana kitu

2. processing power nzuri
motrola wana chip yao wameidesign kwa ajili ya moto x tu. apple nao wana chip zao a7 simu zote za wp zinatumia snapdragon na samsung ana exynos je walobakia wanakimbilia wap? hawana pa kwenda wanaishia kutumia processor ambazo hazipo optimized na software. hapa lenovo napo hawapo

3. display ya maana.
simu inaweza kua na kioo cha hd lakini kikawa kisiwe na quality nzuri technology kama retina na clear black display zinatamba duniani. lenovo nae hana display inayotambulika duniani

4. custom ui
kwenye android kila manufacture ana ui yake inayojulikana kuna wanaotumia touchwiz kuna wengine wana sense ui kuna miui na kadhalika ila lenovo hapa pia hajulikan

5. gaming capabilities
hapa tunazungumzia mambo ya gpu, open gl na mengine yanayoifanya simu iwe na uwezo wa kucheza apps kubwa. siku hizi unacheza hadi games za nintendo wii kwenye android lakini utahitaji simj yenye latest version ya open gl (inayosuport) hapa utakuta simu chache tu kama s4 na lg g2.

hivyo kaka unaona ni kama imposible kwa lenovo kuachive wenyewe bila kununua kampuni nyengine ambayo inajua kulicheza hili game
 
Hilo ninalifahamu vyema mkuu.Na ndio sababu alitaka kununua Black Berry ili aingie kwenye global market. Tatizo langu mimi ni kauli yako ya kuibeza lenovo as if ni taka taka. Kama ingekuwa takataka isingeweza ku-jump from zero market share (miaka 3 iliyopita) hadi kuwa namba 3 smartphone supplier. Kampuni hiyo unayoiona kuwa ni takataka kumbuka ndo kinara katika kuuza komputer duniani. Mkuu chief mkwawa linda heshima yako kaka.
Mwishowe uje kutuambia Nokia Lumia ndo the leading Smartphone brand in the word
 
Mkuu una chuki kubwa sana na Lenovo bila sababu za msingi. Kumbuka Lenovo ni kampuni namba mbili ya Smartphone nchini china behind Samsung. Na ni kampuni namba 3 kwa shipment ya Smartphone duniani (According to 3rd quarter Bussiness Report ya 2013. Namba 1 ni Samsung Namba 2 ni Apple na Namba 3 ni Lenovo
Sources: Worldwide Smartphone Sales In Q3 2013: Samsung, Android Maintain Lead As Apple0‰9¢ã6¾4s Market Share Slips

Acha kudanganya watu. Kama simu yao ingekuwa ni kama michina mingine wasingeweza kuwa namba 3 duniani. Usidhani wote humu ndani hatuna uelewa wa haya mambo

mkuu taarifa yako unanipa ukakasi, kama ni namba tatu kwa usambazaji wanasambaza mataifa gani!? Mimi simu za lenovo naziona kwenye mitandao tu, au unamaanisha bidhaa zote!? Na kama ni bidhaa zake zote, mbona hapa tunaongelea suala lasp simu za lenovo na wala si computer wala kitu kingine!
 
Na kwa kufahamishana tu ni kwamba Lenovo ilinunua Division ya IBM ya komputer ambayo by that time ilikuwa ikipata hasara kubwa, Lenovo wakainunua na matokeo yake Lenovo imekuwa the Leading Computer manufacturer in the world, wameizidi hadi HP iliyokuwa ikiongoza
soorce 1 : Lenovo Emerges as World's Biggest PC Maker
source 2 :Top 5 manufacturers of personal computers in 3Q - Yahoo Finance
source 3 :Lenovo Overtakes HP as the Top PC Vendor While U.S. Shipments Stabilize in the Second Quarter of 2013, According to IDC - prUS24213513

Kwa ushahidi huo hapo juu mimi sina wasiwasi kwamba Motorola imenunuliwa na Kampuni makini na inayotambulika kwa kufanya biashara kwa nguvu kubwa kupitia strategy yao inayoitwa "Protect and Attack"
Tuipe Motorola muda mfupi utaona itakavyofanya vizuri kwenye market ya Smartphone. Hawa wachina wa LENOVO wametumwa kutafuta pesa and they are very serious. Kumbuka walitaka kununua Black Berry mwaka jana but serikali ya Canada ikakataa kutokana na sababu za kiusalama.
Jaribu kugoogle lenovo yoga laptops ambazo zinaiweka juu kampuni hii sana kutokana na innovation zao na design. Pia wana tablet nyingi sana za kuvutia na quality kubwa

hapa kwenye masula ya computer nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja, hapa lenovo hawana masihara wala cha kupoteza
 
mkuu taarifa yako unanipa ukakasi, kama ni namba tatu kwa usambazaji wanasambaza mataifa gani!? Mimi simu za lenovo naziona kwenye mitandao tu, au unamaanisha bidhaa zote!? Na kama ni bidhaa zake zote, mbona hapa tunaongelea suala lasp simu za lenovo na wala si computer wala kitu kingine!

Fuatilia mambo mkuu. Nowdays kuna source nyingi za information. Nimekupa link as a sources za kuhusu smartphone shipment. Au kama vipi google "world smartphone shipment report Q3 2013".
Kama wewe sio mfuatiliaji wa mambo taarifa kama hizi lazima zikupe ukakasi. Au unadhani smartphone ni zile tu unazoziona kwenye mabango ya posta dar? Expand your horizons kaka
 
Kampuni ya Motorola ambayo ilikuwa inamilikiwa na Google imeuzwa kwa Lenovo ya China kwa Billioni $2.9.
Kwa maana hii Google wanajitoa kwenye utengenezaji wa simu za mkononi.
Google iliinunua Motorola kwa Billioni $12 mwaka jana.

Google bought Motorola in 2011
 
Fuatilia mambo mkuu. Nowdays kuna source nyingi za information. Nimekupa link as a sources za kuhusu smartphone shipment. Au kama vipi google "world smartphone shipment report Q3 2013".
Kama wewe sio mfuatiliaji wa mambo taarifa kama hizi lazima zikupe ukakasi. Au unadhani smartphone ni zile tu unazoziona kwenye mabango ya posta dar? Expand your horizons kaka
Lenovo ni kampuni ya nne kwenye smartphone wa tatu ni lg. Ila kuna duopoly kwenye simu sababu wa kwanza anauza kama simu milioni 80 wa pili anauza milioni 30 hadi 50 wa tatu milioni 14.

Ukiangalia hizo data unaona kuwa namba 1 na 2 ndio wanaouza wengine ni simu chache tu.
 
alichokitaka (patents) kakipata sasa anauza mascraper. lenovo nae kachemka simu anataka aongeze quality

ila mkuu mbona kama naona kapata hasara sana yaani anunu kwa dola bn 12 auze kwa 2.9bn tofauti zaidi ya dola bn 9.(refering to maelezo ya mtoa mada)
 
Ndio mkuu, ameamua kuuza kwa hasara kubwa bcoz kuna baadhi ya rights ataendelea kuzimiliki. Na kwa vile motorola itaendelea kuwa mteja wake mkubwa wa android os. Na lengo la google ni kuwa na two big dogs in the market kwa maana ya samsung na motorola (lenovo). As u know google amekuwa akimtegemea sana samsung as the major client sasa ameamua kuongeza mteja mwingine mkubwa. Pia kwavile lenovo ina ambition kubwa ya kuuza US na Europe kupitia motorola so google itanufaika sana kwa kuuza product zaje kwa motorola-lenovo

Source ya bei: http://www.euronews.com/2014/01/30/google-sells-motorola-at-a-loss-to-lenovo/
 
ila mkuu mbona kama naona kapata hasara sana yaani anunu kwa dola bn 12 auze kwa 2.9bn tofauti zaidi ya dola bn 9.(refering to maelezo ya mtoa mada)

There is a lot more to that, google sold motorola's set top box division last year for $2.4billion and when motorola was bought it has $3billion of cash on its balance sheet.
So ukijumlisha na the money from the sale of the phone division it somehow adds up to a substantial amount but pia remember google still keeps the advanced technologies division and a lot of patents which can be evaluated at a large amount of money, definitely not $5.5bn google thought they were worth of but still a lot of money!!
So mwisho wa siku If google had a loss inakuwa sio kubwa sana.
 
ila mkuu mbona kama naona kapata hasara sana yaani anunu kwa dola bn 12 auze kwa 2.9bn tofauti zaidi ya dola bn 9.(refering to maelezo ya mtoa mada)

kama utakua umefatilia issue ya rockstar utajua kwanini google aliinunua motorola.

google alikua kavunja patents nyingi za rockstar. zile patents zikawa zinauzwa. apple, microsoft, sony na google wakakutana ili wazinunue kwa pamoja. google kwa tamaa zake akawazunguka wenzake akataka azinunue mwenyewe lakini kina apple wakatoa dau kubwa zaidi na kufanikiwa kuzichukua hivyo google akawa helpless. zile patent za rockstar zikawa tishio kwa google hivyo ikabidi atafute kampuni yenye patents nyingi ili kujitetea. akainunua motorola kwa hio bei. motorola ni wa pili kwa patent za simu baada ya nokia.

kwenye huu ulimwengu wa tech majengo na viwanda sio ishu sana ila patents ni muhimu zaidi. na nina uhakika google atakua kachukua wale wafanyakazi wenye talent kawaleta google kabla ya kuuza.

pia ikumbukwe motorola toka inunuliwe na google ilikua inaingiza hasara tu. hivyo hata wale shareholder wa google wamefurahi. na hata stock za google zimepanda.

angalia line ya simu za nexus google mwenyewe alikua hawatumii motorola bali anatumia makampuni kama asus, lg na samsung kutengeneza hii inaonesha google hakuwa na future na hawa jamaa.
 
There is no money in smartphones unless you are Apple or Samsung, na siku hizi market inakuwa saturated high end sales zinaslow, margins zinazidi kuwa ndogo.
Google wamekubali kuwa ilikuwa blunder kununua Motorola, vile viwanda walivyofungua marekani sijui kama vitapona, wachina noma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom