Size ya battery pekee si kigezo Bali processor pia.
Unaweza agizishia china? Realme neo 7x ni nzuri Sana, roughly kama laki 3 kule, by far simu nzuri inayobalance ukaaji chaji na perfomance kwa budget yako.
Kwa simu za Hapa ndani Tanzania Sony Xperia 10 IV ama V ni nzuri Sana kwenye ukaaji chaji, unazipata mtumba bei around laki 2 Hadi 2 na nusu. Sema ni vidogo kiumbo ukipita madukani angalia.
Kwa simu mpya hapa kwetu tafuta ambazo soc yake ni Dimensity 7300/7400 ama Snapdragon 6 gen 4, kama Infinix note 50X, Tecno pova 7, Nothing CMF phone 1, nothing phone 2A etc