INAUZWA Motor inauzwa kwa matumizi ya viwandani

Nyambiza jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2018
1,030
1,825
Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.

IMG-20220621-WA0001.jpg
IMG-20220621-WA0003.jpg
IMG-20220621-WA0002.jpg
 
Hiyo mota huwez uza kwa bei hiyo 30hp auto sokoni inacheza 1.5mil mpya
Kama vile ulikuwepo kichwani mwangu.
Kama kuna ulazima wa kuuza ipunguze bei,ukitaka kuthibitisha ninachokwambia pita kwenye maduka ya motor used
au motor mpya za kichina,wengi wanaoanza biashara wanaanza na motor hizo kwani zina unafuu wa bei.
 
Motor ya 20Hp kwa Milioni Tatu ni uongo Mkuu.

Labda uuze Laki tisa.

Recently Nimenunua ya 30Hp kwa 1.6Mil pamoja na 15Hp kwa 0.7Mil..
 
Nakushauri mleta mada uza kwa 1m tu.
Usitake kumalizia matatizo yako yote kwenye hiyo mota utakaa nayo sana,si umeona mwenyewe ni used,jiulize imefyatua tofali ngapi na umepata pesa kiasi gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom