All in one HP Envy 20TB plus 2TB SSD inauzwa

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Computer ya HP all in one inauzwa ina internal Storage ya SSD 2TB na EXTERNAL STORAGE ya 18TB.

Computer iko very perfect nzuri inavutia Mayai classic.

Screen Touch yenye ukubwa wa inch 27

RAM 16gb
Storage 20tb
Core i7 (8th Gen)
instaled window 11pro

Kasoro zake

Wireless keyboard yake na Mouse vilizingua nikatupa saivi natumia Wireless Mouse na Keyboard za dukani.

Perfect Machine kwa Mwenye anataka mashine kali nzuri ya kutumia au kufanyia Gaming.

Sijaipiga Picha ila Ukihitaji picha mteja Serious basi Nitakutumia Picha za Computer.

Picha za Chini hapa ni za muonekano wa Mashine yenyewe ilivyo nimezitoa ONLINE.

Kama zionekavyo picha hizi ndivyo mashine yenyewe ilivyo.

BEI ya Mashine hiii Bila Discount Ya aina yeyote ile No burgain ni 1.3m

BEI : Milioni 1 na Laki 3 (Fixed Price)

LOCATION : Computer inapatikana DAR ES SALAAM/KIMARA

images (6).jpeg

Bei Ya Mashine ni 1.3m

images (3).jpeg

Bei ya Mashine ni 1.3m

images (2).jpeg

Bei ya Mashine ni 1.3M

LOCATION : Computer inapatikana DAR ES SALAAM/KIMARA

MAWASILIANO : 0695697796 call + whatsapp
 
View attachment 2801326

Bei Ya Mashine ni 1.3m

View attachment 2801328

Bei ya Mashine ni 1.3m

View attachment 2801329

Bei ya Mashine ni 1.3M

LOCATION : Computer inapatikana DAR ES SALAAM/KIMARA

MAWASILIANO : 0695697796 call + whatsapp
Mkuu hebu shuka shuka kidogo hapa niichukue
 
Kushuka naweza mkuu ila nikishuka nashuka na hizo specification

yani nashuka na storage nashuka na RAM nashuka navyo vyote tunaishia kufanya

biashara ya Mashine tu ikiwa na low storage,Low Memory, And everything.
 
Me nilichopenda sio hayo mavyombo mkuu nimependa specification yake
 
Mkuu mashine ya Kazi hiyo Unaweza ukaona mwenyewe sasa, ndio mana nikaweka hiyo bei na msisitizo (NO DISCOUNT)

Mashine tu hiyo nili inunua yenyewe kama yenyewe 2.3m.
 
Me nilichopenda sio hayo mavyombo mkuu nimependa specification yake
Hii mashine hata ukibaki na hiyo SSD ya 2 TB na RAM ya *GB bado ni very fair mashine au hata 1TB SSD.Swali ni Je atakufanyia kwa BEI gani.Mimi niko hapa nafuatilia huu uzi tu ikifika BEI inayofaa nazama inbox kwake.Kwa sasa hivi kafika 600K Ia kanikata sana kwenye specifications
 
Nikupe mashine Nyingine DESKTOP yenye specification hizo hizo.

HP TOWER ila utaingia gharama ya kununua Monitor,keyboard,mouse,cables?

Ila kwa hiyo All IN ine boss envy bei yake imesimamia hapo hapo.
 
Shukran Mkuuu Naweza kuku uzia Mashine Tu nikatoa STORAGE zote na Ram nikapunguza to 4gb.

Nikakupa kwa 600k

Maana yake mashine itakua na Storage 500GB Ram 4gb price 600k
Mkuu sasa BEI si nimeshusha kwa 50% na Specification si inabidi zishukamo hivo hivo ama mimi ndo sielewi iashara.
 
Hii mashine hata ukibaki na hiyo SSD ya 2 TB na RAM ya *GB bado ni very fair mashine au hata 1TB SSD.Swali ni Je atakufanyia kwa BEI gani.Mimi niko hapa nafuatilia huu uzi tu ikifika BEI inayofaa nazama inbox kwake.Kwa sasa hivi kafika 600K Ia kanikata sana kwenye specifications
Na 600k hasa ndo bei yake ikipanda sana kulingama na hizo specification bhasi hata 800k au 900k
 
Hii mashine hata ukibaki na hiyo SSD ya 2 TB na RAM ya *GB bado ni very fair mashine au hata 1TB SSD.Swali ni Je atakufanyia kwa BEI gani.Mimi niko hapa nafuatilia huu uzi tu ikifika BEI inayofaa nazama inbox kwake.Kwa sasa hivi kafika 600K Ia kanikata sana kwenye specifications
Shida inayofanya hii mashine iwe gharama ni hiyo SSD 2TB.. mtu akiniambia tu bei pungufu huwa naona bado hajajua utamu wa mashine za SSD.

Gharama tu ya SSD 2TB ukiachana na specs zingine zote Ram na other storage hii bei ni fair mno kwa mjuzi wa mashine.
 
Mkuu sasa BEI si nimeshusha kwa 50% na Specification si inabidi zishukamo hivo hivo ama mimi ndo sielewi iashara.
Lengo si kuuuza kwa bei hiyo Lengo ni ipatikane 1.3m.

Haiuzwi ili tu ipatikane hela mkuu.

Hebu niambie wewe ulikua unataka Specification ziounguzwe kufikaje na bei iweje hebu Unda mashine hapo na bei weka nione kama nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom