kuna habari kuwa wafanyakazi karibu wote wa wizara ya ardhi makao makuu sasa hivi wapo nje ya jengo kwa kuhofia moto haijajulikana kama jengo linaungua au la.......
....duuuuuh, masikini hati zetu za nyumba!!!! Zitakuwa salama kweli??????
hooo.. Mkuu hati zako si unakuwa nazo mwenyewe second copy?
we acha tu, na kama faili lilikuwa kwenye process? Mfano faili lilikuwa mezani kwa boss, si ndio utaambiwa liliungua anza process upya?hooo.. Mkuu hati zako si unakuwa nazo mwenyewe second copy?
jengo linamuogopa lukuvi nini?
we acha tu, na kama faili lilikuwa kwenye process? Mfano faili lilikuwa mezani kwa boss, si ndio utaambiwa liliungua anza process upya?
hatihooo.. Mkuu hati zako si unakuwa nazo mwenyewe second copy?
ngoja tusubiri tupate habari zaidi na undani wa jambo hili.watendaji wa wizara ya ardhi wengi wao ni wahuni kuliko watendaji wa idara nyingine zote serikalini ukiondoa wa mamlaka ya mapato tanzania (tra), jeshi la "polish" tanzannia na uhamihaji..
May be ni mbinu za kupoteza vielelezo nyeti..
umesema ukwelino wonder
ili sokomoko la mameya sjuji watendaji wa ardhi kupelekwa mahakaman unadhan padogo?
Chen ni kubwa na watakaooumbuka ni wengi so wanachofanya ni kuavoid aibu......bora nusu shari kuliko..........
Apo chacha pamaji kuita mma!!!!
Mbona neno bbhaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Mtachoma ving mwaka u!!!!!!!!!!
Lakin mshashtukiwa waungwana shame on uuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!
Hii inaweza ikawa ni tukio la kupikwa..bongo bana!
asante sana mkuu.Nimeulizia nimepata habari kuwa hakuna moto isipokuwa kulitokea 'shoti' ya umeme......hata hivyo watu wa zima moto tayari walishafika eneo la tukio. Kila kitu kiko shwari!
asante sana mkuu.
Nimeulizia nimepata habari kuwa hakuna moto isipokuwa kulitokea 'shoti' ya umeme......hata hivyo watu wa zima moto tayari walishafika eneo la tukio. Kila kitu kiko shwari!