Moto wizara ya ardhi.....hati zetu je?

Moto wizara ya ardhi.....hati zetu je?

OOhhhh...dokomenti za saga ya ardhi-KINONDONI zinapigwa VUVUZELA kiaina hapo!...Ogopa sana hii maneno inaitwa UFISADI!
 
Yale yale hakuna hukumu tena jamani hii ndo Tanzania
 
Tushaitolea maelezo toka asubuhi! Angalia topic za leo vizuri utaiona
 
Hii ni kawaida TANZANIA yetu.
Leo Ardhi,kesho Mahakama,keshokutwa HAZINA.wiki ijayo KILIMO etc

Mchezo unaendelea CHUKUA CHAKO MAPEMA.
 
Tanzania nchi yangu inasikitisha, kama itatokea kuwa habari hii ni kweli basi usanii umezidi. Tusubiri tuone athari zitakazojitokeza kutokana na moto huo vinginevyo ni lazima tuseme kwamba huu ni muendelezo wa matukio yaliyojiri K'ndoni.
 
Back
Top Bottom