Moto wateketeza ghala ya Murzah Oil | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto wateketeza ghala ya Murzah Oil

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yona F. Maro, Aug 16, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Aug 16, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hi wanachi na wana bidii wenzangu hivi sasa mida hii ya jion jumapili hii kiwanda cha murzah oil kilichopo nyerere road kinawaka moto. Chanzo cha moto na madhara bado havijapatikana ila watu na masaada hata wa zima moto hakuna mpaka muda huu.


  Picha kwa msaada wa Mroki

  [​IMG]

  Moto ukiendelea kuteketeza sehemu ya ghala la kuhifadhia rola za karatasi za kutengenezea maboxi katika kiwanda cha Jumbo Packaging Print company' ambacho ni mali ya MURZAH OIL kilichopo barabara ya Nyerere Dar es Salaam Agosti 16, 2009.

  [​IMG]

  Mwenyekiti wa Kampuni hizo za Muzarh Bwana Zakaria Abdul.

  [​IMG]

  Wafanyakazi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali.

  [​IMG]

  Zimamoto la jiji likiwa eneo la tukio.

  [​IMG]

  Moshi ukifuka kwa nje.

  [​IMG]

  Mpiga picha wa Kituo cha Televisheni cha TBC, Butu akiwa amelowa mwili mzima hadi Camera yake baada ya bomba la maji kuachia katika gari la zima moto na kumwangusha chini leo wakati wa kuzima moto katika kiwanda cha Jumbo Packaging Print company.

  [​IMG]

  Butu akiondoka, japo haikujulikana mara moja kama alichokuwa akirekodi kilisalimika au laa na camera ni nzima.

  [​IMG]

  Butu akiwa kazini kabla ya ajali.
   
  Last edited by a moderator: Aug 16, 2009
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nasikia wahindi huchoma mali zao ili walipwe mahela kibao , isije ikawa ni michongo ile ile .
   
 3. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Watu wanatafuta hela ya BIMA kama Sea cliff. Sipendi ku brand kundi kwa sababu sio mbaguzi ila jamaa wenzetu huwa wanatajirika kiujanjaujanja kama hivi.
   
 4. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkubwa wala hujakosea unaelewa wao wenyewe sasa hivi hawajiamini maana hali ya siasa kwa sasa inawapa hofu hasa uchaguzi wa mwakani sasa tutegemee sana Viwanda vyao kuungua sasa hivi ili waende kujificha kwanza Canada na UK (Maoni yangu tuu)
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  duhhh hii kali mungu aepushe bali madharayasiwe makubwa
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tarifa za awali zinapasha kuwa kulikuwa na lori la mafuta lililkuwa limeegeshwa karibu na ukuta wa kiwanda na kulikuwa na mafuta yanavuja kutoka kwenye hilo lori, ambayo yalitiririka nadi kiwandani, lori hilo lilishika moto (chanzo hakijaelezwa) na ukaambaa na mtirirko wa mafuta yaliyokuwa yamefika kwenye ghala la kiwanda na kusababisha madhara hayo.
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hali ilikuwa mbaya, hadi huku Tazara watu macho yanawasha kwa moshi.
   
 8. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  wanashirikiana na nani kuchoma moto???
  wafanyakazi wa insurance nyingi ni wakina nani???????

  halafu utakuta hao watu wa insurance wanapewa hela kidogo kwenye dili kama hiii
   
 9. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  poleni sana watu wa kipawa na majirani zao, ila hawa wahindi ni watu hatari sana kwa uhujumu na ndio wanaodhoofisha mashirika yetu ya bima
   
Loading...