Niko maeneo ya tukio! Lakini sishangai matukio ya moto kama haya sasa hivi jijini Arusha maeneo ya stand kuu ya mabasi Vibosho wanazinunua hizi nyumba zenye mabati ya Madebe kwa kasi sana, wakiwafuata wenye hizo nyumba wawauzie kama wakiringa tu basi muda si mrefu utasikia nyumba imewaka moto! Na sheria za mipango miji huruhusiwi kukarabati wanataka ujenge Gorofa unategemea nini kitafuata!??

chanzo cha moto bado hakijajulikana.
Kwa nini umetumia neno VI - bosho?[/QUOTE]
Ulisomea wapi shule? Kibosho ni umoja! na Vibosho ni wingi!
Nimepita maeneo hayo nimeshangaa sijui siasa inahusikaje, maana vijana wanasema pipoooozz!!! Hii ni hatari sana
tutaambiwa ni hitilafu ya umemeChanzo cha moto bado hakijajulikana.
Mara ya kwanza Fire zilikuja na maji machache zikashindwa kuuzima lakini wananchi kwa pamoja waliungana na kuuokoa msikiti uliokuwa karibu kuuanza kuungua.....sasa baada ya fire kushindwa kuzima na polisi kubaki wakishangaa wasijue la kufanya ndipo wananchi walipo shirikiana na kuuzima moto baada ya kuuzima gafla polisi wakaanza kuwasukuma wananchi ndipo wananchi wakaanza kuimba peoples Power wakiwa na maana umezimwa kwa nguvu ya umma.....wakaanda mbali kabia baada ya kuwaambia wakalete yale magari yao ya maji ya kuwasha ili yatumike kuzima motoNimepita maeneo hayo nimeshangaa sijui siasa inahusikaje, maana vijana wanasema pipoooozz!!! Hii ni hatari sana
Nimepita maeneo hayo nimeshangaa sijui siasa inahusikaje, maana vijana wanasema pipoooozz!!! Hii ni hatari sana
Nii baada ya vijana kushirikiana kuuzima/ kupunguza makali na kufanikiwa kuuonkoa msikiti bila kuwana zima moto hivyo swala hilo likatafathiliwa kuwa ni nguvu ya ummaDuh!Hii kali.Kwahiyo hilo tukio wameshalihusisha na siasa?Haya bhana lakini hakuna tatizo tutafika tu!
moto umesha zimwa lakini karibu kila kitu kimeungua na wengi walifanikiwa kuhamisha....pole sana wakazi wa arusha na mliopo eneo la tukio tupen habari