PreGE2025 Moto wa No Reforms No Election watinga Igima, Mlimba. Wananchi waitika, Heche aongoza Tone Tone

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.

hahaha apa ndo alisema akiamua kwenda ccm anaweza kwenda mda wowote na kua waziri 🤣
 
#HABARI Iliyokuwa Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) na kubadilishwa jina lililokuwa kuwa limeandikwa nje ya ofisi hiyo kisha Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe kuipandisha bendera ya CHAUMMA.

Awali ofisi hiyo iliyopo mjini Musoma kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa yakisomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.

Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.

#EastAfricaTV

FB_IMG_1749124912759.jpg
 
View attachment 3356703
Wao wana ofisi sisi tuna watu
 
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.

great!
 
Tone tone mwanangu! Hivi Susana Kiwanga naye amekimbia na G55?
 
#HABARI Iliyokuwa Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) na kubadilishwa jina lililokuwa kuwa limeandikwa nje ya ofisi hiyo kisha Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe kuipandisha bendera ya CHAUMMA.

Awali ofisi hiyo iliyopo mjini Musoma kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa yakisomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.

Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.

#EastAfricaTV

View attachment 3356703

..Chadema wawe makini na hila kama hizi.

..mambo kama haya yasiwatoe katika reli.
 
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.

Chadema kwa sasa imekuwa imani, inatawala imani za watanzania.
 
CDM msiruhusu tena huo ujinga eti wa kutegemea mtu mmoja ki fedha - sasa hivi chama kijiemdeshe kwa michango ya wanachama.

Kuna baadhi ya mbuzi wachache walisema CDM ya Lissu isingeweza hata kufanya mkutano wa retreat kisa ukata.
Na wengine wameona aibu wamejifungia ndani wakiangakia clips CDM ikichanja mbuga.
 
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.

Mungu baba ibariki CHADEMA
 
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro💗💗💗
 
Back
Top Bottom