Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Baada ya jana vijana wa CCM kuingilia mkutano wa Chadema pale Singida leo ni zamu ya tabora ,tegemeeni "october tunatiki" katikati ya no reforms no election ni moto juu ya moto.
-1036313522.jpg
 
Mkileta ufala mliojaribu kufanya Singida mtakufa na tiki zenu mikononi
 
Nilijiuliza jana endapo kijana wa CDM atajitoa ufahamu na kwenda kwenye mkutano wa ccm halafu akasema No reforms no election.......uwezekano wa kukutwa hai ni mdogo sana.

Asanteni Chadema pande za Singida kwa kumfinya tu na kumwachaa aendelee kujifunza
 
Back
Top Bottom