kanda ya magharibi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Kanda ya Magharibi (Tabora) inachelewesha Hati

    Kuna migogoro na kampuni binafsi za upimaji hali inayopelekea majalada kurundikana ofisini bila sababu. Ofisi ya Msajili haitoi hati mpaka wale wadada (maafisa) wapewe kitu kidogo. Hili jambo linakera sana na linatia hasira, Serikali itume watu wake wafanye kazi yao ya uchunguzi.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa ngazi za chini wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi tunateseka sana

    Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi. Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia: Mikutano inaendelea, leo tupo kanda ya Magharibi Tabora

    Kwenye ukurasa wake wa X msemaji wa Chadema Brenda Rupia ameandika, #OperesheniKatibaMpyaFreeTunduLissu inaendelea leo katika Kanda ya Magharibi, Mkoa wa Tabora. Wananchi, endeleeni kukichangia chama chenu kupitia: 📞 0744 446 969 Jina: CHADEMA HQ
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

    Baada ya jana vijana wa CCM kuingilia mkutano wa Chadema pale Singida leo ni zamu ya tabora ,tegemeeni "october tunatiki" katikati ya no reforms no election ni moto juu ya moto.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kibiashara ya Marekani yawezesha uwazi na biashara kati ya China na kanda ya magharibi

    Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na CHADEMA kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi. Taarifa kamili hii hapa Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji...
Back
Top Bottom