Unajua sisi kama ACT-Tanzania chama makini kabisa cha kupambana na CDM tumejipanga ukanda wa Kigoma, Rukwa, Katavi, Tabora n.k ili tujidadavue kwamba sisi ni wa ukanda huu halafu CCM wataanza kutugeuka kwamba sisi ACT ni chama cha Magharibi a.k.a cha cha Waha na kuipakazia CDM ni chama cha kaskazini a.k.a Chagadema.
Ktk kujinadai baadae watawaambia wananchi mmeona vyama vinavyowagawa watz, CDM kaskazini, ACT magharibi, CUF Mashariki(pwani) lkn CCM ni nchi nzima.
Kwahiyo CCM watakuja na usemi huo kwamba vyama vya upinzani vinawagawa wananchi,
Malizia mwenyewe . . .
ACT chama makini cha kupambana na Chadema kwa hisani tuliyopewa na serikali ya CCM