Moto wa ACT Umezimikia wapi?

Moto wa ACT Umezimikia wapi?

naomba ufafanuzi wako mheshimiwa , hii mada inahusu CHADEMA au inahusu ule mkusanyiko wa WASALITI na MAMLUKI unaoitwa ACT ?
Mkuu, kwani ACT si tawi la CHADEMA? Ni kama wakati ule tulikuwa na Yanga ndaninyake ikazaliwa Pan African. Walikuwa wanawabania Simba haoooo ila wakija Yanga walikuwa wanaachia. Kama ilivyo Toto African ya Mwanza
 
Uctuongelee mkuu...semea nafsi yako tu..Chdma chama cha matapeli

Wew wa ukwee msukule wa ccm na act huna effect wala hatukutaki huku kwa wapenda maendeleo. Kwanza tunataka vijana kama wewe mkae pembeni muwe wapinzani wetu mtupe chalenge tuimarike daima. Hapa ninapo ongelea hata upajui ni wapi. Mtandao wa vijana vyuo vikuu na walimu vijina wasomi tunao unatuambia nini wew msukule. Hizi co enzi za mrema mliua chama kirahisi saivi mmemfanya msukule mradi apate chakula ale alale asife. Kwa chadema mmedunda men!!!
 
Unajua sisi kama ACT-Tanzania chama makini kabisa cha kupambana na CDM tumejipanga ukanda wa Kigoma, Rukwa, Katavi, Tabora n.k ili tujidadavue kwamba sisi ni wa ukanda huu halafu CCM wataanza kutugeuka kwamba sisi ACT ni chama cha Magharibi a.k.a cha cha Waha na kuipakazia CDM ni chama cha kaskazini a.k.a Chagadema.
Ktk kujinadai baadae watawaambia wananchi mmeona vyama vinavyowagawa watz, CDM kaskazini, ACT magharibi, CUF Mashariki(pwani) lkn CCM ni nchi nzima.
Kwahiyo CCM watakuja na usemi huo kwamba vyama vya upinzani vinawagawa wananchi,
Malizia mwenyewe . . .
ACT chama makini cha kupambana na Chadema kwa hisani tuliyopewa na serikali ya CCM
 
CCM haijawapa kazi hiyo. Njaa zenu ndo zimewakimbuza CHADEMA. Analysis yako ni ya kweli kabisa kuwa vyama vya upinzani ni vya kikanda na kimakabila. Ila CCM ni chama kinachokubalika nchi nzima
 
Kama mwigamba alikuwa anajiamini mbona mbona hakuanzisha hicho chama huko arusha? Badala yake katafuta mkoa dhaifu na watu wake wa dhaifu wasiokuwa na msimamo wenye asili ya ubishi na usaluti kafika huko na kunzisha genge la wasaliti jamani. Mbona waha hamtaki kuwa strong?
 
Wadau, kwa siku kadhaa kumekuwa na vuguvugu la chama kipya cha ACT kujiimarisha kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora.

Katika vuguvugu hilo, tumeshuhudia mada kadhaa zikianzishwa humu JF kwa lengo la kunakshi harakati hizo. Binafsi nilidhani kuwa huo ndo mwanzo wa mabadiliko ndani ya siasa za upinzani nchini na nilitegemea kuwa harakati hizo zitaendelea kwenye mikoa mingine.

Hata hivyo, mpaka sasa hali imepoa na hakuna dalili kuwa harakati hizo zitaendelea tena. Hali hii imenishtua na najiuliza, je ni kweli ACT ni chama makini cha Upinzani au ni mchezo wa kuigiza kama wafanyavyo CHADEMA?

Waswahili wana msemo wao kuwa ngoma ikivuma sana mwisho wake hupasuka

Mkuu, kwani chama hiki ni cha kigoma tu?

Dah! Mkuu. Haya bana

Nadhani akili wanazo ila maarifa ndo hawana. Hawana tofauti na CHADEMA

CHADEMA ni wahuni tu kama walivyo ACT, CUF na NCCR
Una hasira na ACT kwa kuwa tawi lenu ccm pale kigoma liligeuka ghafla na kuwa la ACT? Na bado povu litawatoka sana,tena maccm ndio maiti kabisa huku afadhali hata hao wahafidhina
 
Kama mwigamba alikuwa anajiamini mbona mbona hakuanzisha hicho chama huko arusha? Badala yake katafuta mkoa dhaifu na watu wake wa dhaifu wasiokuwa na msimamo wenye asili ya ubishi na usaluti kafika huko na kunzisha genge la wasaliti jamani. Mbona waha hamtaki kuwa strong?
Akili ndogo ndio zinawaza hivi
 
Back
Top Bottom