CCM na CHADEMA waogopa makali ya chama cha ACT-TANZANIA.
Katika kuelekea Chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu-2015,vyama vya CCM na Chadema kila kukicha wapo busy kuizungumzia ACT,Chama ambacho kimeungwa mkono na Watanzania wote hasa kwa sera ya Taifa Kwanza,Chama ambacho kinajikita kuyajali maslahi ya Watanzania wote na kwa muda wote. CCM na CHADEMA sasa wanajipanga kufufua vyama vyao ambavyo vimepoteza muelekeo kwa Watanzania. Sasa ili vyama hivi vifufuke tena ni kuwa busy na mapambano dhidi ya ACT, Kwani ACT ndio jawabu la Watanzania Leo na Kesho.