ngorope
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,112
- 243
CHADEMA ni wahuni tu kama walivyo ACT, CUF na NCCR
we unawatukana ACT huzipendi kucha zako ngoja nepi akusikie
CHADEMA ni wahuni tu kama walivyo ACT, CUF na NCCR
utakuwa mtoto wa miaka ya 90's wewe. kwa taarifa yako dai la katiba mpya lilianza tangu kipindi cha NCCR na baadaye CUF. chadema wamedandia tu njiani. ziliundwa tume mbalimbali za majaji waliobobea kama akina francis nyalali bado zikapotezewa na akina mkapa. hata hii Kikwete angetaka angeipotezea tu maana alikuwa kwenye ofisi tayari na ulikuwa mhula wake wa mwisho. ni jambo zuri Kikwete amelianzisha japokuwa amekuwa wa kwanza kuanza kuharibu tena mchakato wenyewe. ni vizuri ukauliza kuliko kuandika kitu usichokijua kwa kukaririshwa na hao maharamia wenu.Chabruma una matatizo ya akili. Chadema waigiza? Swala katiba kaleta nani nchini nakuwatoa watz matongotongo kuwa ni mbovu kama co chadema? Chadema wanaongoza nchi indirectly. Hiki ni chama kikubwa babu lao. Vijana tunakisupot kwa nguvu zetu zote kwa garama yeyote ile.
...hii yako ni ya kunguru kabisa, nilidhani unaweka adress kuthibitisha kuwa unaakili kumbe hauna tofauti na akili ya kunguru kujidai mjanja kuiba takataka (zzk) teh teh teh...!Akili ya bata hii. Makao makuu ya ACT yapo ubungo. Hayapo machame wala tengeru
Mbona moto wa chadema hatuuoni, ACT imefanya Chadema wamechanganyikiwa kabisa