Moto wa ACT Umezimikia wapi?

Moto wa ACT Umezimikia wapi?

Kasulu hatuna njaa kama nyie misukule ya ccm. Tunalima mazao yote unayoyajua japa nchini. Ila ccm ndio wanatutia umaskini kwa ufisadi. Hadi leo barabara hakuna, elimu duni,hospitali hakuna madawa wakati tunalipa kodi. Laana nyie
Pole sana ndugu. CCM ipo na itaendelea kuwepo. Mtasubiri sanaa. Huoni kuwa unahangaika peke yako na hiyo ACT yako? Hakuna hata mmoja anakuunga mkono
 
Reject ni ccm na chadema...sio ACT ndio mana mnahangaika km mtetea anayetaka kutaga kuichafua.
ACT wameshachafuka hata kabla ya kuchafuliwa. Mmetumika na CHADEMA mpaka basi sasa mnatafuta pa kutokea. Poleni sana
 
Nakumbuka kulikuwa na ratiba ya mikoa ya kutembelea, hivyo haina mashiko kwao wasipokuwa na "strategies". Aidha, hii si dalili za kupungua nguvu zaa chama kipya kama hiki.

Tukumbuke, Chama pekee chilichopata nguvu kwa muda mfupi ni NCCR-Mageunzi, tangu hapo, imekuwa inachukuwa miaka 8-10 (CUF) na 15 kwa CDM.

Kama wamejipanga vizuri sioni sababu ya kukimbia kama wanaweza kutembea na wakafanikiwa.
 
Una hasira na ACT kwa kuwa tawi lenu ccm pale kigoma liligeuka ghafla na kuwa la ACT? Na bado povu litawatoka sana,tena maccm ndio maiti kabisa huku afadhali hata hao wahafidhina

Hebu nijilishe we mwl kaijage. Hvi unaweza kutoka ccm ya chamwino dodoma kwenye ofice kuu nakuhamia lumumba kwenye kwenye ofice ndogo ukasema umehama chama?
 
CC : Mwl. Kaijage wa Kasulu.

Mwl. Kaijage nadhani ndo mwenezi analalama ati CDM wameungana na CCM kuwashambulia ACT!! Wana safari ndefu sana wasiyoijua wasaliti hawa na watapotezana humohumo. Fedha aliyokuwaanahwahonga Coward Chairman wao ZZK naona zinayoyoma kwa kuwa CCM wameshawashtukia wanajijendga wenyewe. ACT kitabaki kapi kuliko ADC, CCJ, CCK n.k. Hawana ubavu wa chochote, hawana sera, hawana fedha, hawana viongozi waadilifu, hawana current promising Mission wala Vision, hawana focus zaidi ya kurudia mawazo ya miaka ya sitini, at African Unit!!??? Hawajielewi na misingi yao ni ya kufikirika na ya kizamani na sio kwa kizazi cha sasa kinachotakiwa kione maendeleo ya kiuchumi, kitechnolojia, kisiasa na kijamii. Waongelee mambo ya Elimu hasa za Uvumbuzi, ugunduzi, uwekezaji endelevu na matumizi bora ya rasiliamli zote kwa manufaa ya wananchi wote wa Tanzania. ACT kweli mmeanza vibaya na hata mkiogea magadi, mkatambika, mkaenda misikitini na makanisani kuombewa dua hamna lenu kwa Tanzania ya Leo. Mmeshanuka hata hamjasogea nje na Kigoma!!! Ndo dhambi ya Usaliti hiyo na ni mauti yenu you Cowards & Traitors Alliance!!
 
Hiki chama kilichoanzishwa kwa hisia za kisaliti kitakufa mapema zaidi hata ya adc!
 
Kasulu hatuna njaa kama nyie misukule ya ccm. Tunalima mazao yote unayoyajua japa nchini. Ila ccm ndio wanatutia umaskini kwa ufisadi. Hadi leo barabara hakuna, elimu duni,hospitali hakuna madawa wakati tunalipa kodi. Laana nyie

YALIFIKIWA MAKUBALIANO KWAMBA LUMUMBA na ACT - KASULU WASHIRIKIANE ILI KUMG'OA ADUI CDM , MBONA MNAVUNJA MAKUBALIANO ?
 
Back
Top Bottom