Zanzibar: Moto unawaka kwenye kituo cha umeme cha Forodhani

Stunnaman008

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
457
Reaction score
530
Moto unawaka katika kituo cha umeme Forodhani
 
Attachments

  • ace681d82fb64c63ac7882c620c0a4c2_1793368124080.jpg
    ace681d82fb64c63ac7882c620c0a4c2_1793368124080.jpg
    64.4 KB · Views: 4
Mmeshauriwa mweke mitambo ya umeme wa upepo na umeelezwa hali halisi kuwa tatizo lisipo tatuliwa vi bata vuzi vyenu vinavyo tumia umeme mta park na kuwasha mishumaa wewe unasema ni chuki?

Ninyi wafuga majini vipi?
Chuki tunazipokea , tukizurudisha mnaanza kulia ,..Mmepigwa mpaka mnaogopa kuandamana , TEC wamebaki kuimba taarabu , Vatican waje kuwaokoa ..Na lolote likimpta Rais hii nchi haitotawalika tena.
 
Naamini watawahi kuudhibiti mapema, maana nimeona timu ya zimamoto wako eneo la tukio
 
Chuki tunazipokea , tukizurudisha mnaanza kulia ,..Mmepigwa mpaka mnaogopa kuandamana , TEC wamebaki kuimba taarabu , Vatican waje kuwaokoa ..Na lolote likimpta Rais hii nchi haitowalika tena.
Raisi gani huyo unamanisha ambaye nchi haitatawalika kana kwamba yeye ndio kabeba amani ya taifa? Yeye ni mtu ndani ya taasisi. Akiondoka taasisi inabaki.
Waliondoka bold men nyerere, mkapa magufuli
 
Mlijaribu kumpindua kwa msaada wa kanisa , leo mnalia lia ..Mtaisha kweli ...Watu mamilion wanamkubali sembuse nyie hata theluthi hmfiki ..Kile kibano hata jamaa zenu wamebaki kuimba taarabu , walikuwa wanaongea kwa ukali mwaka jana ila jana wanatia huruma.​
 
Mapinduzi unayajua kweli? Huwenda najibizana na zwazwa hapa
 
Mmeshauriwa mweke mitambo ya umeme wa upepo na umeelezwa hali halisi kuwa tatizo lisipo tatuliwa vi bata vuzi vyenu vinavyo tumia umeme mta park na kuwasha mishumaa wewe unasema ni chuki?

Ninyi wafuga majini vipi?
Ahsante
 
Back
Top Bottom