Moto mkubwa shule ya Uhuru

Status
Not open for further replies.
Duuh,

Mababu zako walihamiaje Dsm.?
Walikuwapo kwenye viunga vya Mzizima tangu Dar es salaam haijawa Dar es salaam miaka ya 1800 huko.

Tukiridi Shule umya Uhuru.

Watofo wa hizo familia walioamua kusoma, pamoja na wengine waliokuja Dar mapema, ndio walisoma shule kama Kitchwele (later Uhuru).

Shule ina historia kubwa sana katika Dar es salaam, Tanganyika na Tanzania.

Ni moja ya shule za kwanza kabisa kusomesha Waafrika.
 

Poleni sana wanafunzi na waalimu. Ila naogopa..


Wasije kusema haifai tena tugeuze container terminal....
 
Sidhani......nimeishi nchi zilizoendelena sijawahi kushuhudia eti helkopta zikutumika kuzima moto... anyways, kama tumeshindwa kupangilia mji wewe unadhani hatua ya helkopta itawezekana? Mawazo yako ni kama ya yule mkata mauno wa CCM aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi cha Magufuli alikuwa anasema wanaagiza drones za kuzima moto.
 
Video tafadhali.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…