Moto mkali waendelea kuwaka kileleni Mlima Kilimanjaro!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
Moto mkali ulioanza usiku huu kileleni mwa Mlima Kilimanjaro, unaendelea kuteketeza barafu ndogo iliyobakia kileleni hapo.
Mabonge ya barafu yameshuhudiwa na wananchi walio chino ya lima huo mrefu kuliko yote Afrika,yakibiringika mabondeni na kuyeyuka kwa kasi.

Mkuu wa Polisi Mkoani humo Absalom Mwakyoma alokuwa akihaha kuazima helikopta ya ya Mzee Ndesamburo, maarufu Kama Ndesa Pesa, ili apeleke askari wake kujaribu kudhibiti tukio.

Mzee Ndesa Pesa Mwenyewe amesema tukio hili ni serious na atakodisha helikopta nyingine kwa ajili hiyo kola ya kuelekea Arumeru.

Source:Habari toka ofisini nyeti.
 
Me nipo hapa juu ya kilele najitahidi kupuliza uzime..somebody Heeelp!!!

Mkuu, tumepata Fire extinguisher kadhaa tunakuja hapo kileleni kwa kasi ya ajabu; usihangaike kupuliza moto kwa mdomo!
 
Usiwatishe watu, moto wenyewe wa kawaidi hapa himo gari za fire ka kumi zimepita
 
Moto mkali ulioanza usiku huu kileleni mwa Mlima Kilimanjaro, unaendelea kuteketeza barafu ndogo iliyobakia kileleni hapo.
Mabonge ya barafu yameshuhudiwa na wananchi walio chino ya lima huo mrefu kuliko yote Afrika,yakibiringika mabondeni na kuyeyuka kwa kasi.

Mkuu wa Polisi Mkoani humo Absalom Mwakyoma alokuwa akihaha kuazima helikopta ya ya Mzee Ndesamburo, maarufu Kama Ndesa Pesa, ili apeleke askari wake kujaribu kudhibiti tukio.

Mzee Ndesa Pesa Mwenyewe amesema tukio hili ni serious na atakodisha helikopta nyingine kwa ajili hiyo kola ya kuelekea Arumeru.

Source:Habari toka ofisini nyeti.

Poleni sana! Ndesa pesa anakuja haraka kusaidia kuzima moto!
 
mimi nimeunganisha mipira ya maji kutoka marangu mtoni kuelekea huko kileleni na maji yanapanda kwa kasi ya ajabu.
 
Mkuu, tumepata Fire extinguisher kadhaa tunakuja hapo kileleni kwa kasi ya ajabu; usihangaike kupuliza moto kwa mdomo!

tafuta na bodyspray za rasasi,kama fayatingisha hazitoshi
 
Oh Yes! Asante mkuu kunikumbusha, maana nilishafika kileleni -Kibo; narudi kwa kasi ya ajabu kuchukua bodyspray za rasasi then back to Kibo!
 
Me nipo hapa juu ya kilele najitahidi kupuliza uzime..somebody Heeelp!!!

Swts avata yako mimi hoooooi kwa hilo pozi...........

avatar69726_1.gif
 
wakuu acheni msiuzime, sisi tupo huku bondeni Mashati, tunakinga maji ya barafu zinazoyeyuka!
 
Uuuuuwi;hii ni hatari tutawapoteza watalii; mie natoka Dar es salaam nakuja na begi mbili za barafu mjiandae kunipokea tusaidiane kuzibandika barafu zingine; nakuja na bus la MERIDIAN ntashukia marangu"
 
Swts, asante, wewe ndio umenisaidia, kiukweli maso alinipata!.

lol pole sana!hahah me nlishtuliwa na sms asubuhi eti jk kalazwa hospital ya 'mwananyamala' anaumwa malaria!af amekosa kitanda,so kapga mbav chini! Af anatolewa sa4 asubuh,
 
Oh Yes! Asante mkuu kunikumbusha, maana nilishafika kileleni -Kibo; narudi kwa kasi ya ajabu kuchukua bodyspray za rasasi then back to Kibo!

kimbia fastaa ndesa katoa ambulance inafanya kaz za boda boda,wahi
 
Back
Top Bottom