Moto lugoba high school -mizimu au watu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto lugoba high school -mizimu au watu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Iga, Sep 4, 2008.

 1. I

  Iga Senior Member

  #1
  Sep 4, 2008
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  SISI wanafunzi wa Lugoba Shule ya Sekondari tumesimamishwa shule bure kwa kisingizio kuwa ndio tuliosababisha moto ulioteketeza mabweni mawili shuleni.


  Hii si kweli na tunaiomba serikali ichunge tabia ya walimu wakuu na baadhi ya watendaji wake ambao wamekuwa ni wepesi wa kutusingizia wanafunzi hata kwa yale tusiyohusika ili waweze kuficha madhanmbi yao!

  Ieleweke kwamba na sisi ni wapiga kura na tuna haki zeu za msingi pia ikiwa ni pamoja na kuheeshimiwa kwa katiba ya nchi panapozuka jambo la mtu kutuhumiwa kwa kitu ambacho kwa hakika hajakifanya.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Sep 5, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ika tukio lenu linasikitisha sana nimejaribu kufuatilia kwa karibu kasheshe yenu hiyo kumbe miezi 3 iliyopita mwalimu mkuu alihamishwa na kuletwa mwingine ndio mkaanza kupokea vitisho kwa njia ya karatasi kuhusu fujo na mambo mengine ya ajabu ajabu .

  Huo moto nafikiri ulianza saa 2 usiku , kituo cha polisi lugoba pamoja na chalinze walikuwa na taarifa hizo , wao wakatoa taarifa makao makuu kuomba msaada dar es salaam kuomba msaada haieleweki kwanini kibaha haikutoa zimamoto au kwanini chalinze haikufanya huvyo

  baada ya kutoa taarifa hizo wao wakaambia waongee na morogoro ndio karibu walete zimamoto ----- ndio mambo yalikuwa hivyo
   
 3. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....Kama kawaida yetu kwenye maafa watu wanaingiza politiki....Yawezekana vipi watu kutupiana mpira kama kulikuwa ana taarifa za mapema kuhusu huo moto mara kibaha, mara morogoro. Inanikumbusha MV Bukoba watu walipoomba msaada South Africa kuwa boti imezama sio meli....Poleni vijana.
   
 4. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2017
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,202
  Likes Received: 80,766
  Trophy Points: 280
   
 5. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2017
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,202
  Likes Received: 80,766
  Trophy Points: 280
  Kipindi hicho nilikuwa sijajiunga JF lakini nakukumbuka hili tukio
   
Loading...