Zilizikwa makaburi ya sahauHivi zile fire hydrant zilizo fukuliwa na zingine kuonekana zikiwa zimesahaulika miaka iliishia wapi?
Enzi za Magu?
Hujuma… Lengo likiwa nini?Mwenendo wa kikosi cha Zimamoto umetoa majibu ya maswali ambayo hatukujiuliza before
Ana mashine yake moja akivurugwa anapiga mbili juu tu na hakuna wa kumfanya kituKwani Chalamila anasemaje?