Motivational speaker aina ya Dkt. Chris Mauki ndio wanaharibu ndoa za watu

evocom

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
254
250
Sijapata kuona watu wanaotekwa kijinga na hao wanaharakati kama wanawake. Huko kote wanakokimbilia hakuna msaada zaidi ya kutapeliwa na kina chrisMauki, manabii na wengine kama kina Irene mbowe. Hawa ndoa zao ziliwashinda wakabaki kuigiza ili wApige pesa sasa kama akili zako ni butu utajiju .wanaume tusikubali wake zetu wakimbizane na haya matukio tutafilisiwa kama umesoma vizuri hakuna haja ya kwenda huko wajinga wasiojielewa ndio wamekaa kule
Na pia kwa nini hawa jamaa wanaojifanya wanashauri sana mambo ya ndoa, huwa ndoa zao zimewashinda au zinawashinda ni kwa nn????
 

evocom

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
254
250
Mauki anachochea mitafaruku ndani ya ndoa zetu ......shenz kabisa
Anajua kuwa Mitafaruku ikianza. Wake zetu ndo watakimbilia kwake hawape maneno hayo.na wamchangie izo buku30.

Lakini ikiwa ndoa imedumu, una furaha na mkeo, huwezi ona mke anatoka kwenda uko. Ivyo wanawake wengi wanaoenda uko jua kuna kutofautiana na waume zao.

Ivyo hawezi waponda ilihali najua ndo wateja wake. Akiwasema au kuwakemea wanamkimbia anakosa izo buku30.
 

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
6,434
2,000
Huyu christina mauki Kwanini mtu mmoja asijitolee kumfanyia ukalumanzira zile sehemu zake nyeti zitwaliwe kimiujiza awekewe kama za menina
 

Window7

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
3,929
2,000
Huyo Chriss Maluki ni nani? Anamiliki viwanda vingapi hapa bongo? Utajiri wake una thamani gani? Maana niliacha kusikiliza motivational speakers wasiomiliki hata kiwanda cha katani.
 

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Oct 28, 2019
685
1,000
Huyo mauki ni mchumia tumbo,ukikutana nao na mkewe mfupi kama vicks ya chapa shoka
Mkuu hapo umezengua usikashifu mtu kwa sababu ta maumbile ,aliyeumba ndoo anajua kwanini aliumba hivyo.Right Mungu akupa huo uwezo wa kuumba sijui ingekuwaje.Muheshimu Mungu kwa kazi yake ya umbaji na kumbuka bado upo hai
 

sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,525
2,000
Mimi si wongo mke wangu ana kipato kizuri kuliko mimi kutokana na elimu yake na kazi nzuri anayoifanya alinipenda kutokana na personality niliyonayo ucheshi na hofu kwa mungu.Sisi ni walokole.
Huyu mama hajawahi kuninyanyasa hata siku moja na anasaidia sana upande wa ndugu zangu.
Kumcha mungu ni maarifa na kufuata mungu anayotuasa ni maarifa makubwa.
Mimi kuna vimiradi vidogo vidogo nasimamia nyumbani mke wangu anapokwenda kazini akipata mshahara ananionyesha tunapanga pamoja hata akipata bonus ya kazini ananionyesha.
Je mi ni kapuku mbele ya mke wangu?
Mara vuupu anatokea mtu anaitwa motivational speaker ananiponda utafikiri yeye ndio malaika wa ndoa imara sababu tu kajaliwa kuongea kabla hujamnyooshea mwenzio kidole angalia na wewe dole gumba linakuangalia.
Nimemuonyesha mama watoto wangu message ya huyu jamaa amesikitika sana akasema huyu jamaa anaharibu ndoa za watu hasa wakisoma wanawake wasio na uwezo wa kufikiri.
Kwa pamoja tumeamua kum unfollow kwenye mitandao yote aheri motivational speaker mchungaji.
Ajira hakuna ndio maana watu wa aina yake wanajitokeza
Mkuu Mungu akubariki wewe na ndoa yako
 

MTU ALIYE NYIKANI

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
346
500
Sio tu ndoa, Hawa MS huwa wanaharibu hadi maisha ya watu, Nimemshuhudia jirani yangu mmoja akiacha kazi na kuanzisha biashara baada ya kuambiwa kuwa kuajiriwa ni kunyonywa na hawa watu, Sasa hivi hali yake ni taabani na anajutia maamuzi yake ya kuacha kazi kwa pupa. Kwangu mimi hawa watu ni Scammers tu maana wanaongeana vitu vya kufikirika tu visivyo halisi katika maisha ya kawaida.
 

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,630
2,000
Huyu bwana kwa kweli kafunguwa "Pandora Box", wanaume wanaowaponda wanaume wenzao kwa kauli kama yake kwake always wanaishia pabaya, tena siku mambo yakimwendea kombo anaweza hata kujitia kitanzi, jinga sana huyu bwana...
 

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,989
2,000
Andiko la Dkt. Chris Mauki kuwa wanaume wanaosema kwa familia zao zimewavulimilie kuwa watapata pesa baada ya mchongo fulani ni wasanii Imenifedheesha sana yeye kwa sababu anapata salary pale UDSM, anawatapeli wake zetu na kuwala pia maana pia hii ni kashfa yake kubwa jamaa, huwa anatumia advantage ya ku-solve shida za kina mama kuwamega!

Kwanza nchii watu wengi ridhiki zao ziko miguuni hata waliojariwa kipato hakitoshi ndio maana wanategeme mishongo kama safari, vikao, warsha kusongesha familia zao, hata mimi mzese alikuwa ananiambia ngoja nitoke kazini nitakupa kitu fulani, ni kawaida tu ila yeye katumia jukwaa lake kuharibu ndo za watu, ili kuwafurahisha wateja zake, hajuii hata hizo buku 30k za semina zake huwa zinalipwa na hao wasanii.

Motivational speaker wengi ni warubuni ndio maana ndo zao zinawashinda kama Jocye Kiria. Wengine walikamatwa na madawa ya kulevya ili hali huwa wanaonyesha kuwa mafanikio ni kupitia saving ya vibubu. Huyo Dkt. Chris Mauki atutake radhi wanaume maana tunapigama sana kisa familia, ndio maana jela tumejaaa, hospitali sisi hata kufa tunakufa kwa wingi kisa stress za familia!
Umeongea kwa uchungu sana
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,370
2,000
Inawezekana Bwana Mauki akawa sahihi au asiwe sahihi kulingana na uhalisia na mazingira ya jambo kwa muhusika mwenyewe.....wapo vijana wanaopambana kutafuta ridhiki lakini bado Mungu hajawanyooshea lakini juhudi zao zinaonekana kupitia harakati zao kwani mgaa gaa na upwaa hali wali mkavu......lakini pia lipo kundi la vijana wavivu wasiotaka kufanya kazi wakitumia msemo huo kama kichaka cha kuhalalisha uvivu wao........

Kwa hivyo bwana Mauki yuko sahihi kwa vijana wavivu....wanaowarubuni mabinti na kuwafanya waishi maisha ya kufikirika huku wakiogelea kwenye dimbwi la uongo wao usio na mwisho.......lakini hayupo sahihi kwa kuwaweka vijana hao kundi moja na vijana wanaopambana kutafuta mafanikio huku juhudi zao zikionekana ingawa hazijazaa matunda.........

Utampinga Mauki kulingana na uhalisia wako moyoni....na ndivyo hivyo utakavyomkataa kutokana na uhalisia wako nafsini mwako....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom