Motivational speaker aina ya Dkt. Chris Mauki ndio wanaharibu ndoa za watu

Hvi bado kuna wanawake wanakwenda kwa huyu tapeli wa ngono? mkeo akienda kwa huyu mtu mlime talaka haraka sana!
hafai na hana maadili! nawaonea huruma sana watoto hasa wa kike anaowafundisha! takukuru hebu mfuatilieni huyu mtu.
 
Bado Nitaendelea kumtetea Mauki. Mauki popote ulipo fahamu kwamba kuna watu bado wanasimama na wewe. Hii ni vita itapita, umeteleza kidogo wabaya wako wamepata upenyo wa kukudhihaki.
Huenda una sababu zako binafsi , ilaukweli huyu jamaa hafai kuwa msuluhishi, mshauri au mtetezi zaidi ya kuwa mchafuzi!
 
Back
Top Bottom