Mother's Love for her child..

This is a primary responsibility, whether she like or not
 
Mama ana mapenzi makubwa sana na mwanawe, naona kuliko Baba kama inavyodhihirishwa hapa:

 
Biological reasons. very difficult to be the same in terms of size and secretion.

Lakini tofauti ni kubwa sana, ninanvyojua mimi mtoto akipendelea kunyonya ziwa moja zaidi lilejengine huwa linanywea lakini yanakuwa hayapishani sana!
 
Some mothers choose not to fulfill this primary responsibility. So appreciations are in order i guess.

My shouts to all mummies who willingly, voluntarily and purposely chose to be responsible.

Hao wanaokwepa kuwapa watoto wao haki yao ya kuzaliwa wana matatizo...tena si madogo!


Babu DC!!
 
Mbona ziwa moja kubwa lengine dogo?


Nina hakika kabisa kuwa uvionavyo wewe si nivionavyo mimi.Ila ukweli ni kuwa binadamu wanatofautiana sana kimaumbile,mimi nilishawahi kukutana na mmoja ambaye ziwa moja lilikuwa limesimama,yale wayaitayo saa sita na jingine ni kama ana watoto watano.Nilipotaka kujua kulikoni nikaulizwa kwani wewe shida yako ni ziwa langu au mbunye..??Sikuwa na jibu mpaka leo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…