Mothers' day 2014

Mothers' day 2014

she has been my very close frnd to me.. she knws about 100% of my life evry step I made I feel her contribution in more than 50%... luv you bimkubwa may God grant you long life...AMEN!!!
 
hongera sana dear kwa kupata mama mkwe wa hivyo......
Ni ngumu sana kupata binadamu ambaye unakaa naye miaka zaidi ya miwili na usione dosari yoyote toka kwake.
Nikikumbuka, mamangu tu ambaye alinibeba kwa tumbo lake miezi kadhaa na kunilea kwa mapendo yote mpaka sasa na uzee wangu huu bado tunakwaruzana hapa na pale, ingawa siyo serious issues. Mama mkwe wako ni wa kipekee, endelea kumwomba Mungu aendelee kuwa hivyo katika maisha yake yote, we need wakwe kama hao.
Nakusalimu sana rafiki, umepotea haswaaaa

unajua rafiki ndo mana kwenye post yangu nikasema makosa yale ya kibinadamu huwa siyahesabu na hivyo huwa natangulia kuona wema zaid kwangu kuliko makosa.....................

FP katika maisha nimejifunza kitu kikubwa sana na kwangu hili huwa linafanya kazi kwamba mara zote mtu akikukosea jaribu kujiassess kwanza wewe mwenyewe pasi kujidanganya kwamba ni wapi wewe umefungua milango ya kukosewa......ikiwa utaona kaupenyo hata kadogo vipi basi jua wewe pia umechangia hadi kosa hilo kukufikia hivyo uzuri wa njia hii ni kwamba hutokaa umuhesabie mtu kuwa na hatia mbele zako....

mimi ninaamin nina makosa mengi sana mbele za watu, lkn japo nina makosa huwa pia najifunza mengi sana kutokana na makosa haya na hasa jins ya kuish na watu..........nafikiri pia ualimu umeniharibu sana mimi jins ya kuendesha maisha....

BTW mimi nipo rafiki ila tu si unajua huyu mume hatak kunipa unafuu ndo mana huwaga nikikuwaza napata gere sana kwamba sijui wewe mwenzangu ulimmudu vipi huyu
 
Umesema sahihi kabisa my dear friend, ndo maana huwa naupenda sana huu uzi wangu ambao niliuleta kitambo kidogo pale cc
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/521281-the-window-through-which-we-look.html
huu uzi unamfanya mtu ajiulize mara kadhaa pale ambapo anamuwazia mtu kitu, siyo kusema tu.
Amini usiamini, hiyo naifanya sana katika maisha yangu ya kila siku, na inafunza sana.
BTW huyo mume rafiki cheza naye kwa step ndogo ndogo, ukikimbia utachoka mapema kabla hujafika mwisho. Usikubali kuachana na maisha yako sababu tu ya kuolewa. Mshikilie sana, awe mtu wa karibu sana kwako, lakini hakikisha unapata muda kwa ajili yako mwenyewe, trust me, mtafika mnakoenda bila hata kujua kama mmetembea kilomita ngapi.
All the best dear
 
hapo blue umenitia moyo sana rafiki nimejifunza jambo kubwa sana. nitakutafuta chemba kidogo
 
Karibu sana rafiki.......
Ni lazima kutiana moyo kwenye hii taasisi, ukiingia kichwa kichwa unaweza kuishia njiani. lakini nakuaminia rafiki, you will make it. Just pull up your socks, na la muhimu zaidi, don't give up your social life for this, you need it kukurilaksisha, lol!
 
Hapa mnaongelea nini wadogo zangu??

Ngoja nimwite mjukuu wangu ajiandae kusherehekea siku ya wamama... Ukuje Karucee!
 
Last edited by a moderator:

My Step mother told me that Motherhood was the best gift ever.

I have never doubted her even when I felt at my lowest point crying to the Lord to heal my ailing child.

Not even when I lie awake because baby wants to play with Mama and not necessarily on the bed...

Despite my many efforts to resist growing up, Motherhood put me in my rightful place and no regrets whatsoever.

Happy Mothers Day to Bibi.🙂 and all JF mothers and mothers to be.
 
Ahsante sana mdogo wangu Karucee,

Salamu za bibi nitazifikisha na pia naamini wamama wengine wamepata salamu zako.

BTW, bado bibi anakusubiri Ta na kesho birthaday yake!
 
Last edited by a moderator:
Shida mama yangu bandidu, ukimwambia happy mothers day anakwambia kwani KUNA POSHO?

Basi nakausha, najisemea kimoyomoyo
Some mothers are Narcisstic .wako self absorbed au low self esteem au mshahara wako anautegemea au anakutafutia mchumba anaemfurahisha yeye sio wewe.Wamama wengine wanashindana mtoto Huyu Anaakili wengine hawana .
 
Sijakuelewa. rudia tena
 
Some mothers are Narcisstic .wako self absorbed au low self esteem au mshahara wako anautegemea au anakutafutia mchumba anaemfurahisha yeye sio wewe.Wamama wengine wanashindana mtoto Huyu Anaakili wengine hawana .

Ni kweli Natalia, ila hiyo ndiyo hali halis ya dunia. Kwa vile hakuna mkamilifu, inatubidi tujitahidi kuwekeza nguvu zetu kwenye vitu ambavyo ni positive zaidi kwani ndiyo vinatupa courage ya kusonga mbele.

Wamama wa namna hiyo wanahitaji kuombewa!

Happy mothers' day to you and wamama wote!

We love you so much!
 
Back
Top Bottom