Mothers' day 2014

Mothers' day 2014

Natamani watu wote wangechukuwa walau muda katika maisha yao kuwaonesha mama zao upendo. Mama ni zaidi Mzazi...ni rafiki, mlezi, mwalimu, mfariji na kimbilio lenye uhakika usio na shaka.

Hata vibaka waonaochomwa moto, mama zao huwalilia sana!

Proud to see Mama in her old age!

Faraja ninayoipata nikimuona mama yangu anatabasamu,Mungu tu ndio anajua!!
Akiwa anacheza na wajukuu zake na uso wake unawaka kwa furaha aliyonayo.......
 
Upuuzi mtupu, yaani munapenda mama zenu mwaka mara moja ?

Waafrika acheni kuiga Wazungu. 

nyie wazenji mnawapenda mama zenu mara ngapi?
siku maalum tu mkuu. haina maana upendo ni wa siku moja.

kuna siku ya maziwa
siku ya mhogo
siku ya nyama
siku ya watoto, n.k

hisia za upendo ni universal, hakuna kuiga japo tunatofautiana ktk kuonyesha hisia za upendo.
 
Babu kwanza nimekumiss.pili nimekununia!

Ila nimekusamehe kwa kuleta hili sredi!
Mi mamangu ndo Dah!ila najua alipo she is proud of me!
Kwa wanaosababisha niitwe mama,kisses kwao mingi!
They are my rocks!
mtu akitaka turushiane maneno machafu au tupimane nguvu anitukanie kwa mama.....aisee zitapigwa!
 
Mapenzi kwa mama ni kila siku, kila saa na kila dakika.

Na sio iwekwe siku maalumu kwa ajili ya mama, hapo ndipo mimi sikubaliani napo. 🍼
 
Babu kwanza nimekumiss.pili nimekununia!

Ila nimekusamehe kwa kuleta hili sredi!
Mi mamangu ndo Dah!ila najua alipo she is proud of me!
Kwa wanaosababisha niitwe mama,kisses kwao mingi!
They are my rocks!

Tatizo lako wakati mwingine unatafuta kesi badala ya kuweka mambo sawa.

Haya, leo Babu yuko hapa...njoo tuyamalize!
 
Mapenzi kwa mama ni kila siku, kila saa na kila dakika.

Na sio iwekwe siku maalumu kwa ajili ya mama, hapo ndipo mimi sikubaliani napo. 

Kuna mtu kabishia hayo unayoyasema?

Halafu ndiyo mara yako ya kwanza kuona watu wanasherehekea siku maalum au jambo lolote hata kama linatakiwa kukumbukwa kila siku?
 
mtu akitaka turushiane maneno machafu au tupimane nguvu anitukanie kwa mama.....aisee zitapigwa!

Hahahahahaahh,

Kuna baadhi ya makabila ambayo ukimtukania mama yake lazima zipigwe ngumi za uhakika!!
 
Hizi sijui Mother's Day au Father's Day kwangu mimi nahisi ni kuwadhalilisha kwani wanahitaji mapenzi ya watoto wao 24/7 na sio kutengewa siku maalumu. 🍁
 
Hahahahahaahh,

Kuna baadhi ya makabila ambayo ukimtukania mama yake lazima zipigwe ngumi za uhakika!!

kwi kwi kwi
kabila langu linakaribiana na wale ambao mkuu wao enzi za mjerumani aliwaachia tabia ya kujinyonga, japo wasomi siku hizi wanajinyonga kwa tai.
lkn cha ajabu ya wanawake utakuta wanawatukana watoto wao kwa kujitukanisha. kazi ipo
 
Hili suala la wanawake kuwatukana watoto matusi yanayowagusa wao wenyewe lipo ssana...Ila huwa nawashangaa wanaotumia matusi hayo. Nahisi wanaongea tu kufurahisha nafsi zao!
 
Asante sana babu Dark City kwa uzi mzuri......
I am very proud to be a mother...... ni furaha/baraka ya kipekee kwa kweli.
Nimejifunza mengi sana katika hii process ya kuwa mama.
Namshukuru na kumpenda sana mama yangu kwa kunilea vizuri....... lakini namshukuru sana aliyesababisha niitwe mama, mimi peke yangu bila yeye nisingekuwa mama.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante sana FP, tumekumiss sana mdogo wangu!

Hapo kwenye blue....watu walionasa na kunasika utawajua tu!!

Ngoja nikuitie wenzio... snowhite, Kongosho... na Baba lao Kaizer!
 
Hapo kwenye blue....watu walionasa na kunasika utawajue tu!!

Ngoja nikuitie wenzio... snowhite, Kongosho... na Baba lao Kaizer!
ha ha haaa, babu mi nilisema taratibu naona wewe umeiwekea amplifier, lol!
Yes, yeye ndo haswaaaaa wa kushukuriwa, hata wanaopata kwa IVF virutubisho vyatoka kwa hao hao, ni muhimu sana kuwashukuru nyie kwa kazi nzuri.
 
Done....

Ila pia kuna majanga dunia hii,......SOMA HAPA
 
Ahsante sana FP, tumekumiss sana mdogo wangu!

Hapo kwenye blue....watu walionasa na kunasika utawajua tu!!

Ngoja nikuitie wenzio... snowhite, Kongosho... na Baba lao Kaizer!

Huu uzi ulinipita wapi sijui, ila nashukuru kwa kutambua, umama ni raha sana, dhana ya msalaba wala haipo. Na nguvu hii niliipata punde tu nilipoona product yangu mwenyewe, with my eyes, color and lips. Enzi hizo tunatumia nepi, sio hizi dispozabo diaper, maji na kwanga wakawa marafiki zangu, kamba zimefungwa kila mahali, uwii mvua ikinyesha nepi zinachelewa kukauka maan inabidi uanue. Nikajifungia kamba zangu ndani, watu woote wanalalama naharibu mwonekano, lakini i was so excited and so occupied na kijana wangu.

Sijawahi kuwa excited kiasi kile kwenye maisha yangu, not even when zombie proposed.

ha ha haaa, babu mi nilisema taratibu naona wewe umeiwekea amplifier, lol!
Yes, yeye ndo haswaaaaa wa kushukuriwa, hata wanaopata kwa IVF virutubisho vyatoka kwa hao hao, ni muhimu sana kuwashukuru nyie kwa kazi nzuri.

Kweli tupu, wababa tunawashukuru kwa kufanya ndoto zetu kuwa kweli. Afu sijui kama wanajua, yaani jamaa kila akisababisha kiumbe kuja duniani upendo unazidi. Sijui sababu na wao sura zao hubaki wa watoto? Wakati wa ujauzito ndio kabisa, ni mwendo wa 'mahaba niue', kuna siku nitafuata mtu kazini nikamsubirie:A S 13:

Na kwa wanaotafuta nawaombea wapate, ni furaha kuwa mama, sana sana.
 
Huu uzi ulinipita wapi sijui, ila nashukuru kwa kutambua, umama ni raha sana, dhana ya msalaba wala haipo. Na nguvu hii niliipata punde tu nilipoona product yangu mwenyewe, with my eyes, color and lips. Enzi hizo tunatumia nepi, sio hizi dispozabo diaper, maji na kwanga wakawa marafiki zangu, kamba zimefungwa kila mahali, uwii mvua ikinyesha nepi zinachelewa kukauka maan inabidi uanue. Nikajifungia kamba zangu ndani, watu woote wanalalama naharibu mwonekano, lakini i was so excited and so occupied na kijana wangu.

Sijawahi kuwa excited kiasi kile kwenye maisha yangu, not even when zombie proposed.

Kweli tupu, wababa tunawashukuru kwa kufanya ndoto zetu kuwa kweli. Afu sijui kama wanajua, yaani jamaa kila akisababisha kiumbe kuja duniani upendo unazidi. Sijui sababu na wao sura zao hubaki wa watoto? Wakati wa ujauzito ndio kabisa, ni mwendo wa 'mahaba niue', kuna siku nitafuata mtu kazini nikamsubirie:A S 13:

Na kwa wanaotafuta nawaombea wapate, ni furaha kuwa mama, sana sana.

Ahsante sana Kongosho,

Very touching....

Hata sisi akina baba huwa tunafurahi sana pale unapomjaza mtu ambaye kweli umeridhika awe mama wa watoto wako. Ila zile za accident zinatukera sana!

Ubarikiwe sana!
 
Last edited by a moderator:
asante sana Dark City

nampenda sana mama yangu...furaha yangu...uzuri wangu...mafanikio yang yeye ndo mwanga wngu.amepata shida sana juu yangu amenilea hakukata tamaa

jaman tumaanishe upendo kwa mama zetu kwa matendo na mzingira wanayoishi...tuwajali sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom